Eeenh!
Bichwa la Habari limejitosheleza lakini kwa kuwa wengine ni wagumu kuelewa niwalainishie.
Hivi wewe Mwanume mwenzangu unaethubutu kunyanyua mkono wako kwa nia ya kumdhuru mwanaume...
Jana nilirudi safari baada ya kukaa kwa muda wa mwezi mbali na mke wangu, sasa alikuwa kamiss sana mambo fulani.
Kama kawaida yangu nilipiga show ya muda bila kidogo, akaniambia ana wasiwasi...
haya mambo mengine yanaghadhibisha sana. jana nilifanikiwa kuweka saini kwa mrembo mmoja wa muda mrefu sana ambaye nilikuwa namfukuzia kwenye usajili. actually ana jamaa yake.siku mbili tatu ago...
Niko na urafiki na dada mmoja ambae tulijuana kwenye mazingira ya kazi lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi sababu yeye ana mpenzi wake na mimi nina mpenzi wangu .
Kwasasa yeye hana kazi na sijui...
Pole na hekaheka za hapa na pale za kujitafutia riziki, nisiwachoshe sana ngoja niende kwenye mada. Ni mwaka wa kumi na tatu tangia jamaa yangu aoane na mwenzie wana watoto 4 mpaka sasa kwa mtoto...
Da tangu nisikie hizo story za kibamia mi kama boy ilinibidi nijicheki kama nami ninacho hicho kibamia ama lah kwa kutest ngoma nzito nzito zile zilizokubuhu.
Basi mkubwa na wanawe nikajitoa...
Ni kama ma predator, yaani wanyama wawindao kama vile simba, ambao hawali mizoga au wanyama waliokufa wenyewe au kuuliwa katika mazingira wasio yajua, bali hufurahia sana wanyama wanaowawinda na...
Boys behave basi, you find some one within the same day of knowing each other requests sex, while when girls request money at the same day of acknowledgment ,the comment coming out will be...
Kuna hii tabia ya wadada kupenda kuomba baadhi ya vitu vya wapenzi wao na kukaa navyo hata kama hawana matumizi navyo.
Mfano mwanamke anaweza akamuomba boyfriend wake nguo anayovaa, saa ya...
Wadau kuna mwanamke mmoja huyo tumekuwa na urafiki wa karibu wa Kaka na dada kabla ya hapo huyu mdada nimekuwa nikimuelezea hisia zangu kama nampenda lakini amekuwa akinikatalia
Mara nyingi...
My Confession: Mazoea Huzaa Tabia
Nililitumikia Jeshi la Polisi kwa miaka 25 kabla ya kustaafu kwa hiari. Nilipofikisha muda wa miaka 22 kazini nilikaa chini siku moja tumetoka kwenye tukio la...
Nimeona kwenye send off na harusi nyingi mabinti wakicheza kwa kurusha rusha ngumi utadhani wanacheza boxing.
Sasa hii sijui ni fashoon au wanatutahadharisha wanaume ili tusithubutu kuwapiga!
Nawasalimu!
Nimechoka na story za kutunga na kubuni za baadhi ya members humu, sioni sababu ya kunyamaza na kupotezea hili hata mkisema niachane nao lakini mtu mzima na akili zako tafakari ikiwa...
1. A fake girl will never call you except flashing. The highest she can ever do is to flash you.
2. She complaints unnecessarily over little things
3. A fake girl only plays and smiles with you...
Dunia maisha mafupi sana, kununa kila wakati unajikosesha Furaha na utamu wa Kuishi. Najua matatizo na Mitihani haishi, lakini tambua kuwa aliyekupa mitihani si Mwingine bali ni Mola wako...
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-1
"Dada Ime, kama wewe dada yangu kweli niambie ukweli, nini kinaendelea kati yako na mume wangu?"
"Hakuna mdogo wangu, unajua mumeo amezidi sana utani. Ni hilo tu."...