Kama title inavyojieleza,
Sifa: Mchapakazi, mrembo/mzuri, mkristo, umri kuanzia miaka 18-20, si mrefu sana au mfupi sana awe wa kati, awe mtanzania.
Sifa zangu: Umri miaka 25, urefu wa kati...
jana ilikuwa siku ya wanawake duniani. woooh...! they were so sweet. mi mpaka nimepewa french kiss na dada mmoja. she was just happy... for what ? i dont know and didnt care as long as she gave...
Nimepatwa na mshtuko baada ya kusimama barabarani mbele ya gari moja la serikali. Mshtuko umekuja baada ya kushangaa hili gari linaunguruma wakati ndani hakuna mtu na kama linatikisika kwa mbali...
Habari za muda huu wanawake
wenzangu..
Napenda kuchukua nafasi
hii kuwatakia
Heri na furaha ya siku yetu ya leo duniani.
Ujumbe wangu : Tusikubali kukatishwa
tamaa, tujitume kwenye fursa...
Man cleared of sexual assault after putting finger in woman's bottom during sex
Man accused of putting finger in woman's bottom during sex is cleared of sexual assault
Scott Howard, 26, was found...
Huyu bwana alipofika nyumbani kwake akitokea kazini,akaangalia simu yake akaona inaita,kuchek kumbe ni namba ya mkewe na wakati huo wanaangaliana maana ameshafika ndani,mkewe yuko kwenye kochi...
Habari wanajamvi hivi karibu mpenzi wangu ameanza kuvaa cheni mguuni, hapo kati nilisikiaga kuvaa hivi vitu kwa mtoto wakike maana yake anatoa mazingira, nashindwa kumuuliza mpenzi kama anacheza...
Diterbitkan March 07, 2018
TAGS
Na MARKO MALULI
Imepakiwa-wednesday march 07-2018 at 20:02 PM
Habarini ndugu wasomaji wa makala hii ,leo naenda kuzungumzia wale marafiki zangu ambao...
Leo watu wakisherehekea siku ya wanawake, napigiwa simu na mama yangu analia mama yake amefariki muda si mrefu, ntamkumbuka Kwa mambo mengi, vituko na wajukuu wake.
Alikuwa akisumbuliwa na uvimbe...
Nitakuita mama..
Mama watoto
Mama chanja
Mama vyovyote vile ila wewe sio mama yangu.
Na katu mama yangu sitomuita "bi mkubwa"
nawaza naona ni matusi makubwa sana "kumuita mama mzazi "bi...
Kuna hao madada wasiopenda kufanya kazi wao kazi yao ni kupiga mizinga wanaume ili waweze kuishi (Kudanga)
Ukiwauliza wengi wa wanawake wanaofanya hiyo kazi majibu yao huwa ni easly tu kwamba...
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane...
Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika Box kubwa na kuanza kulifungua kwa pupa kwani alikuwa akikumbuka kuwa alipewa na Mama yake siku ya harusi yake na alitaka kujua ni...
Sisi date zetu hazikuwa na gharama, mawasiliano ya barua. Unnandika barua kwa Asprin unampa housegirl wenu aipeleke akifika kule anakutana na houseboy was nao wanatongozana. Hubs haja ya vocha...
Habari wakuu.
Nimeleta huu uzi hapa ili wale wenye shida na dhiki mbali mbali tujifunze namna ya kujifariji
Hizi ndio njia nazotumia kujipa furaha yangu
-Namtumainia Mungu maana najua hatonitupa...
habari wana JF?
#. wanawake ndio mmekua waombaji wakubwa wa pesa katika mahusiano kaeni mkijua mapenzi ya kweli hayatengenezwi na pasa bali ni upendo wa dhati kutoka moyoni na kumuonea huruma...
Ndugu zangu habari zenu,
Nimeshangazwa na tabia iliyoanzishwa na mke wangu kuwasha kibatari kwa masaa 24 bila kuzima na huku nyumba tunayoishi inatumia nishati ya umeme.
Mpaka leo naandika kwenu...
Niende kwenye mada husika,
Unakutana na mwanamke hakujui humjui ila mmekutana tu sehemu ya service fulan, baada ya muda anaanza kukusimulia matatizo yake na Mume wake kwa kukutaka ushari, mara...
Akizungumza leo katika kuazimisha Siku ya Wanawake duniani Rais wa Uganda Mzee Yoweri Museveni leo ameamua rasmi kuwatolea ' uvivu ' Wanaume wenye tabia ya ' Kupiga ' Wake zao ambapo amewatolea '...