Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina furaha sana kukupata wewe kipenzi cha moyo wangu,na ninafurahia sana maisha yangu nikiwa na wewe. Lakini kuna maneno mazuri na ya kweli ambayo napaswa kukwambia wewe kama mke wangu,ila kuna...
8 Reactions
99 Replies
11K Views
Wakuu, nawasalimu. Leo naomba wadada waje hapa watueleze namna wanayopitia katika mahusiano ya mapenzi ya awali hadi kufikia uchumba. Pia vikwazo wanavyovipata na maumivu wayapatayo kwenye...
13 Reactions
51 Replies
6K Views
Usishangae kwanini amekuacha na kwenda ila jiulize ujasiri kaupata wapi? Ukishalijua hilo jichunguze kuona ulikosea wapi ama yeye alikosea wapi na ukishaligundua hilo basi usisononeke bali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Sehemu ambapo moyo wangu umelowea bado njia ile naikumbuka na huenda nikili kwa kinywa changu yakuwa zipo sehemu nyingi lakini pale nitaishi daima kwakuwa pale ndipo moyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila mtu na jinsi na jinsi anavyopokea upendo katika moyo wake, na ndio maana kuna mtu akiachwa anajiua na kuna mwingine anacheka tu na maisha yanaendelea.. Namna unavyoweza kujisikia wewe kuhusu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Inapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wanandoa walikuwa wamelala na ghafla simu ya mwanamke iliingia message ikisema "Nitumie picha ya maziwa yako" Mwanaume mwingine akamtumia sms kupitia WhatsApp. Mwanamke kimya kimya akaenda...
6 Reactions
5 Replies
5K Views
Msaada, Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka. Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote...
6 Reactions
93 Replies
11K Views
LEVEL ZA MWANAUME KUWA BOYA NI NNE (4) TU. 1. Kama umetembelewa na mwanamke ile amengia chumbani kwako tu mmekaa muda mara akakwambia funga mlango alafu akawasha sabufa kwa sauti ya juu na wewe...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu! Jamani inakera sana vijana fanyeni...
34 Reactions
725 Replies
62K Views
Kwanza kabisa mniwie radhi kwa kichwa cha habari hapo juu!lakini ebu tutafakari kwa pamoja!mwanamke huwezi kumridhisha kwa kila kitu!mfano huwezi kuwa handsame wewe!hapo hapo ukawa gentleman...
17 Reactions
151 Replies
9K Views
Kwenye 80s kulikuwa na Wimbo ukiimbwa na Vijana Jazi (Kama Sikosei), baadhi ya maneno yake yalikuwa yakisikika kama hivi "... Kuniletea Mke mwenzangu ndani ya Nyumba Si Jambo la kushangaza...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Ndoa ni jambo la kheri na siku ile la Harusi ndio siku pekee ambayo haitaka ijirudie tena. Ukiwa unasherekea pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Baada ya siku kadhaa kupita na maharusi kurudi...
9 Reactions
177 Replies
11K Views
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI...
9 Reactions
33 Replies
5K Views
Zikiwa zimebaki Siku tano ( 5 ) tu tusheherekee Siku Kuu ya Idi tayari takribani Gesti / Loji 213 zilizopo katika Kitongoji changu zimeshabukiwa / zimejaa na nyingi zitakuwa wazi kuanzia tarehe 18...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi kweli mwanaume unayejiamini unaanzaje kupiga nyeto?? Msishangae kwanini nimeanza na hasira bila hata salaam, ni kwa sababu ya kitendo hiki haramu cha kuuwa binadamu wenzetu ambao hatujui...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
1. Nikipata mimba inakuaje. 2. Kwanini nimekupenda hivi ghafla. 3.Ulishafanya mapenzi na wanawake wangapi. 4. Umesikia raha ya penzi langu au umejisikiaje. Ongezea lako usililolipenda.
4 Reactions
199 Replies
21K Views
Wadau habari zenu!,leo nataka niwashirikishe jinsi nilivyoshindwa kuitumia fursa ipasavyo! Kipindi Niko secondary kuna binti mmoja alikuwa ananichukia sana hasa tikiwa form 1 & 2 ile mbaya kwa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu mmoja ambae tulikutana kwa bahati na tukawa tunaishi mtaa mmoja Tabora,alikuwa ni mtu ambae aliishi kwa mateso sana katika mapenzi.Maana alikuwa na uhusiano na mschana mmoja...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…