Safari ya maisha

bazl

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
440
587
Wakuu habari za mihangaiko,huu uzi unalengo la kupeana changamoto tulizokumbana nazo siku tulipo toka nyumbani na kwenda kuanza maisha rasmi
Mimi nilikutana na changamoto ya kupamiss home yani hadi nikawa natamani kurudi!
Kitu kingine niliweza kuanza na kakitanda na godoro lakini mpunga wote ulikata nikawa sina hata ndoo ya kuogea yani daaah
20180722_182035.jpg
 
Wakuu habari za mihangaiko,huu uzi unalengo la kupeana changamoto tulizokumbana nazo siku tulipo toka nyumbani na kwenda kuanza maisha rasmi
Mimi nilikutana na changamoto ya kupamiss home yani hadi nikawa natamani kurudi!
Kitu kingine niliweza kuanza na kakitanda na godoro lakini mpunga wote ulikata nikawa sina hata ndoo ya kuogea yani daaahView attachment 830417
Du upon serious na ujumbe wako kweli
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom