The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Habari za Jioni wapendwa
Daah wanasema kila mtu ana mbabe wake huku duniani kweli hilo limejidhirisha kwangu live
Ipo hivi kuna mdada mmoja kahamia mtani kwetu ana kama miezi mitatu hivi kipindi anakuja skua home but nimerudi niakkuta kashamia kusema cha ukweli ni mzuri
ila sasa tatizo yaani kila nikipanga kumtongoza najikuta natetemeka tuu naishiwa nguvu mdomo unashindwa kabisaa kuongea najilaumu saana .huku nikijisemea kesho nayo ni siku nikikutana nae tabu inakua ni pale pale no change
Juzi aliniomba nimuwekee umeme na movie ila daah nilishindwa kabisa kumfunguaa yaani she drove me like crazy yaani laiti angejua ninavyompenda jamanii daaaah.
aisee ananitesa saana sijui nitatumia trick gani jamanii
Ninachojiuliza
nilishawahi kuwatongoza wanawake wazuri kuliko yeye na nikafanikiwa iweje huyu nashindwa kabisa kumtakia yaani naishiwa nguvu kabisaa nashidwa kumwambia kweli nimepatikana aisee