Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati si milele bandugu siku hazigandi hata siku moja kwahiyo twapaswa kuwa na subra na uvumilivu kwenye kila jambo ,mambo mengi yanaharibika kwakuwa watu wanakosa uvumilivu ,subira ...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku zote watu hu-dedicate nyimbo kwa their current lover, ila leo lets do something different. Jaribu kudedicate nyimbo kwa your ex. Wether uta-dedicate kwa mmoja, wengi au baadhi yao, ni wewe...
4 Reactions
80 Replies
12K Views
Moja ya kosa ambalo sitalifanya maishani mwangu. Unampiga hapo, mwenzio anatoka kapaniki na ma-stress yake anakutana na kajamaa hela hakana ila kanazurura mjini na chupa ya salimia ya kuchua...
4 Reactions
129 Replies
13K Views
kila napousikia wimbo huu. mwanamke mrembo hakosi kasoro" hesabu gharama, hesabu gharama ukiona zimezidi mrudishe kwao. naumia sana. dada kiukweli ana mvuto nampenda na anavutia sana...
4 Reactions
93 Replies
11K Views
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
6 Reactions
112 Replies
22K Views
Mara nyingi watu hu-associate wimbo fulani na tukio fulani au mtu fulani. Hivyo hivyo kwenye mapenzi unakuta mtu akisikia wimbo fulani labda anakumbuka dedication aliotumiwa na mpenzi wake...
3 Reactions
126 Replies
16K Views
Ameniambia nisubiri kisha ameondoka, mimi sijasubiri na yeye hakuja
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Tarhe 16 october 2018 nakuwa mtu mzma kwa urasimi. Natimia miaka 18.Ebu nimpen ushauri nfanye nn kuelekea safar yng ya utuziman. nfanye nn ili nwe na safar njema? asanten sna
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanawake wengi wanaopata ujauzito na kutaka kushusha injini wanaangukia katika mawazo mgando na wengine kiafya. Wanawake wengi kwanza hufikiria hivi: 1.Jamii itamuonaje amepata ujauzito kabla ya...
0 Reactions
80 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi Inaniuma sana aisee yaan kuna manz nimemufukuzia kwa mda wa miez sita sasa bila mafanikio lakin cha ajabu leo nimemkuta anajiuza hapa sinza mor kwa bei chee kabisa ya elf tano...
9 Reactions
83 Replies
10K Views
1.Ukiona umejipiga ‘selfie’ au hata picha yoyote ukaiweka kwenye facebook na kutag watu mia ukapata ‘likes’ mbili tu ni dalili ya wazi kuwa we mbayaaa. 2.Ukiona wakaka wanapenda sana kampani yako...
11 Reactions
187 Replies
26K Views
MNYAMA NDANI YANGU! SEHEMU YA KWANZA Na Nira Saire Ilikuwa ni siku ya Alhamis majira ya saa nne za asubuhi nikiwa darasani nikisoma na wanafunzi wenzangu, mara hali yangu kiafya ikaanza...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Msichana wa ukweli ni yule anayependa care yako na uwezo wako. Msichana aliye haribika ni yule anayependa pesa zako kuwa makini kwa chaguo lako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Habari za weekend Eti Patriot man umechukua nafasi kubwa ndani ya mtima wa moyo wangu kuliko ata boyfriend wangu. Hii kauli imenistua kwelii.. Kumbe unaweza ukawa na mahusiano na mwanamke mawazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu Mungu wacha aitwe Mungu hakika hanaga upendeleo wa 100%. Hakuna kitu alichokifanya kwa upendeleo kwa asilimia mia na ndio maana kuna matajiri na maskini, wazuri na wabaya, weusi na weupe wote...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi waungwana Kuna manz mmoja fulan hivi ni dem wangu kama kwa mda wa week tatu hivi yaan tumedum kwenye uchumba kwa week tatu sasa lakin alichonifanyia sijakielewa kabisa aisee Juz...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza? 1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza? 2) Msumbufu na umempata...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
We endelea kulala style ya mende anaye kufa, huku ukijiliza kama mtoto aliyenyimwa pipi utaachwa mpk shetani akushangae. Vitoto vidogo vitakuwa vimaolewa wewe utaendelea kujipaka kila aina ya...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Hakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza? Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Asee niaje wana. Achana na hiyo heading, soma content. Hapa naongea na vijana wenzangu masingle boy mabachelor kama mimi. Excuse my language naandika kisela zaidi. Vijana tuna mambo yetu. Kuna...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…