Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nikamwambia tuondoke zetu...
Nina ndugu yangu ni mama ameolewa miaka mitano ilopita ana watoto watatu.
Aliwahi gombana na familia iliyotulea mmoja wa memba akamshambulia kama anapiga mwizi akaondoka nyumbani.
Aliishi...
Habari ya leo wapendwa,
Leo nimekuja na suluhisho la matatizo ya husuyo mfumo wa uzazi kwa vijana wote.
TUKIANZA NA WAKIUME
Kama unasumbuliwa na matatizo yafuatayo ukiwa kama mwanaume suluhisho...
Nakwambia ukweli inafika hatua hawa wote nawaweka kundi moja maana tabia zao ni sawa
TABIA ZA BAR MAID
1. Kupenda hela kuputiliza
2. Kuwadanganya wanaume zaid ya mmoja hasa walevi kwamba kila...
Aisee nimegundua wanaume wengi mnaishi stone age. Wanawake wa zama hizi sio wale wa enzi. Hamko tayari hata kidogo kuwakabili na mna roho ndogo mnooo; sasa naomba muwe tayari kwa haya
1. Kuwa...
Wazima humu??
Mi cyo mtaalam wa uzaz. Lakn nshawah kuskia kwmba...kuna uwezekano mkubw wa kupata watoto mapacha km mmoja au wote kati ya two parties zilizoshirik kutungisha mimba atakua/watakua...
Habari ya leo wapendwa,
Leo nimekuja na suluhisho la matatizo ya husuyo mfumo wa uzazi kwa vijana wote.
TUKIANZA NA WAKIUME
Kama unasumbuliwa na matatizo yafuatayo ukiwa kama mwanaume suluhisho...
Habari ya leo wapendwa,
Leo nimekuja na suluhisho la matatizo ya husuyo mfumo wa uzazi kwa vijana wote.
TUKIANZA NA WAKIUME
Kama unasumbuliwa na matatizo yafuatayo ukiwa kama mwanaume suluhisho...
Habari za jioni wakuu
Hivi kuna faida gani na hasara gani kumuoa mwanamke anayependwa sana na wazazi wake? Yaani ule upendo wa kupitiliza mpaka unagundua kirahisi kuwa kaka zake na dada zake...
Mambo yanakwenda kwa kasi sana..hebu tupeane mbinu mpya za 2018..mnachepukaje wenzetu?? Bila kunaswa??
Kuna zile mbinu zetu za zamani za kujitungia safari za kikazi za uwongo,ama zile za...
Wakuu nawasalimu nyote ....niende kwenye mada
Ivi wanawake wenzangu mnawezaje kuishi na mwanaume mwenye gubu yaani kidogo tu kanuna ujakaa sawa kakublock kila kona ....kidogo tu asha foka...
Najua wanawake wengi mtakuja kuchangia huku mkitokwa povu la kutosha kudekia nyumba tano.
"Ooh mmezoea kuonea wanawake tu nyie mbona hamjatulia hatusemi?".
Ni kweli kabisa 98% ya wanaume...
Naanza na dada kwa ufupi ufupi.
Huko maeneo ya kwetu kusini jamaa kamuoa dada(wote waislamu)wakakaa katika ndoa mda kidogo yule jamaa akaanza kubadilika tabia za ajabu ulevi,watoto wazuri na mkewe...
Hakika yangu mna uzima Kama wote
Bila kupoteza sekunde niende moja kwa moja kwenye kiini cha mambo.. Niko kwenye mahusiano mwaka Wa pili yaani uchumba unaokaribia kuwa ndoa.
Nashindwa kumuelewa...
Wakuuu huyu mtoto namkubali sana. Najaribu kumrudisha tuishi kama zamani.
Miezi nane sasa imetimia hakuna hata dalili kama atarudi. Nimebembeleza mpaka nimechoka.
Nifanye nini jamani?