Msaada wenu wanaJF; Ndugu yangu anasumbuliwa na tatizo lisiloeleweka

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,628
Nina ndugu yangu ni mama ameolewa miaka mitano ilopita ana watoto watatu.

Aliwahi gombana na familia iliyotulea mmoja wa memba akamshambulia kama anapiga mwizi akaondoka nyumbani.

Aliishi vizuri miaka ya mwanzo na akapata kazi na kujitegemea. Lakini miezi michache tangu alipotangaza ana mchumba anatarajia kuolewa maisha yakabadilika kila siku mi matukio, mauzauza.

Mama mkwe (sio mama wa kumzaa mume, mlezi tu) akawa hamtaki. Kijana wake akawa anamwambia niambie kwanini humtaki mchumbangu, mama hana sababu.

Baadae sista angu akagundua ma mkwe mshirikina, akilala usiku anamuota anamkimbiza. Akienda kumsalimia ukweni anamuonesha chuki kali.

Tukija huku upande tuliolelewa nako wanamchukia vibaya ndoa yake pia walikuwa wanaipinga wanatuma watu wamwambie mume usimuoe hazai huyo but mume ni muelewa anawafukuzia mbali.

Akolewa wakasusa kuja, alivopata mimba akawa kila akilala anaota hawa ndugu wanamkimbiza wanampiga mateke tumboni.

Ni mengi kapitia mpaka akajifungua.

.....Nafupisha....

Bado mauzauza hayaishi, anaumwa kichwa muda wote analia hajielewi kabisa.

Kila nyumba atayopanga ni mauzauza mara akitoka anaona nyoka, akirudi ndani hayupo. Mara bundi analia usiku kucha. Mara mbuzi analia usiku. Mara wanajikuta asubuhu wamelala sebulenu sakafuni ye mume na watoto.

Kwa ufupi wamehangaika sana.
mahospitali makubwa, kafanyiwa kila kipimo hakuna tatuzo. Kaita mashehe hamna nafuu. Kaita wachungaji pia. Kahundhuria makanisa kibao na kuombewa inakuja nafuu kwa muda tu then yanarudi.

Sasa hivi anadai hawezi kukaa sehemu, muda wote anahangaika tu hata akiwa ndani. Mara anatoka anaenda barabarani kama anajihisi kufa. Anasema ana hofu.

Pia akiwaangalia watoto ni wadogo anapagawa. Hana shida ya pesa anaishi vizuri.

WanaJF nisaidieni hasa huyu atakuwa na nini na suluhisho ni nini? Kama unajua niambie.

Amepitia mengi mno mazito. Wazaz hatuna, ndugu wanafiki.

Anadai kipindu anapigwa walimnyofoa nywele wakazichukua ndio maana hivi sababy wakati anapigwa alivamiwa ghafla hakuweza kujihami. Alianguka, aliyekuwa anampiga akawa anamburuta kwa kumvuta nywele anamparua makucha na kumpiga hovyo.

Naombeni msaada nimsaidie ndugu yangu.
 
Your cousin sis and her husband both need Jesus Christ...

Kwa namna ulivyoeleza kuna mauza uza ya kiswahili swahili ambayo sidhani kama kuna kigagula wala daktari anayeweza kuyatatua...
yap ni kweli but where is the aolution.kanisa gani..wapi..

wao wanasali..ni watu wa kusali na yesu wamempokea..lakin why yanaendelea
 
Yupo sehemu gani?

Hizo ni nguvu za giza tu zinazowasumbua na inaonekana sio watu wa maombi wao binafsi na kutokana na mlolongo wa hayo matukio imani yao imetetereka sana ndio maana hata wakiombewa yanatulia halafu yanarudi

Sasa cha kufanya kama ni wakristo waambie waanze kufanya ibada wao binafsi nyumbani kwao asubuhi na jioni na wasome kwa muda huo Zaburi 35 yote na maombi ya kutosha wakiwa na imani wasidhani kupona kwao mpk wakaombewe no maandiko yanasema ombeni kwa jina la Yesu naye atafanya na sio ombeweni

Wakifanya hayo kwa uaminifu na kwa imani pasi na shaka utaleta mrejesho wa amani yao wasisahau Zaburi 35
 
asante mkuu.ntawaamvia now
 
Nina ndugu yangu ni mama ameolewa miaka mitano ilopita ana watoto watatu.

Aliwahi gombana na familia iliyotulea mmoja wa memba akamshambulia kama anapiga mwizi akaondoka nyumbani.

Aliishi vizuri miaka ya mwanzo na akapata kazi na kujitegemea. Lakini miezi michache tangu alipotangaza ana mchumba anatarajia kuolewa maisha yakabadilika kila siku mi matukio, mauzauza.

Mama mkwe (sio mama wa kumzaa mume, mlezi tu) akawa hamtaki. Kijana wake akawa anamwambia niambie kwanini humtaki mchumbangu, mama hana sababu.

Baadae sista angu akagundua ma mkwe mshirikina, akilala usiku anamuota anamkimbiza. Akienda kumsalimia ukweni anamuonesha chuki kali.

Tukija huku upande tuliolelewa nako wanamchukia vibaya ndoa yake pia walikuwa wanaipinga wanatuma watu wamwambie mume usimuoe hazai huyo but mume ni muelewa anawafukuzia mbali.

Akolewa wakasusa kuja, alivopata mimba akawa kila akilala anaota hawa ndugu wanamkimbiza wanampiga mateke tumboni.

Ni mengi kapitia mpaka akajifungua.

.....Nafupisha....

Bado mauzauza hayaishi, anaumwa kichwa muda wote analia hajielewi kabisa.

Kila nyumba atayopanga ni mauzauza mara akitoka anaona nyoka, akirudi ndani hayupo. Mara bundi analia usiku kucha. Mara mbuzi analia usiku. Mara wanajikuta asubuhu wamelala sebulenu sakafuni ye mume na watoto.

Kwa ufupi wamehangaika sana.
mahospitali makubwa, kafanyiwa kila kipimo hakuna tatuzo. Kaita mashehe hamna nafuu. Kaita wachungaji pia. Kahundhuria makanisa kibao na kuombewa inakuja nafuu kwa muda tu then yanarudi.

Sasa hivi anadai hawezi kukaa sehemu, muda wote anahangaika tu hata akiwa ndani. Mara anatoka anaenda barabarani kama anajihisi kufa. Anasema ana hofu.

Pia akiwaangalia watoto ni wadogo anapagawa. Hana shida ya pesa anaishi vizuri.

WanaJF nisaidieni hasa huyu atakuwa na nini na suluhisho ni nini? Kama unajua niambie.

Amepitia mengi mno mazito. Wazaz hatuna, ndugu wanafiki.

Anadai kipindu anapigwa walimnyofoa nywele wakazichukua ndio maana hivi sababy wakati anapigwa alivamiwa ghafla hakuweza kujihami. Alianguka, aliyekuwa anampiga akawa anamburuta kwa kumvuta nywele anamparua makucha na kumpiga hovyo.

Naombeni msaada nimsaidie ndugu yangu.

Cc: mshana jr and MziziMkavu
 
yap ni kweli but where is the aolution.kanisa gani..wapi..

wao wanasali..ni watu wa kusali na yesu wamempokea..lakin why yanaendelea

Haya ndiyo makosa makubwa sana wakiristo wengi wanafanya. Wengi hufikiri ukiombewa ndiyo matatizo huisha nani alikuambia?. Inawezekana kwa muda ila usipojisimamia itachukua hata miaka 100 unasumbuka.
Unatafuta miujiza ila siyo YESU wa nazareti aliyehai.
Nikupe ushuhuda tu.
Kuna kipindi nilisafiri nikafika kwa mwenyeji wangu. Hiyo nyumba ina mauza uza sana. Usiku ukiwa umelala unaota ndoto za ajabu ambazo kwa akili za kawaida unasema hii siyo ndoto ni mauza uza. Siyo siku moja ni kila siku. Nikasema hapana
chakufanya. Nikafanya sala ya toba nikawa nasali. Kabla ya kulala unaomba kwa kutumia jina la Yesu, unakemea kila aina ya nguvu za giza. Unalala. Unalala usingizi mzuri ninaposema usingizi mzuri ninamaanisha. Kuna siku nikasema leo nalala hivyo hivyo siombii. Aise mbona niliamka kuomba, niliota ndoto ya ajabu mpaka usingizi ukakata. Nikaomba nikalala usingizi mzuri.
Ndugu yako anapenda miujiza ila siyo Yesu. Km huwezi kujisimamia huwezi kujua thamani ya Yesu. Wengi hudhani ukishaombewa mambo yote yanakwisha yaani hata kuomba huombi, ikifika usiku ww nikulala tu. Ndugu utasumbuka sana.
Ushauri wangu.
Atafute kanisa la kiroho linalomuabudu Mungu ktk roho na kweli. Aongozwe sara ya toba. Kisha aanze kusali kwa kumaanisha. Hakikisha kuwa anakuwa active ktk kusali.
Haudhurie ibada kanisani na pia ibada za maombi hakikishe hasikose na pia km kutakuwa na mkesha wa maombi audhurie, hakikishe usiku kabla ya kulala aombe, hata usiku akishituka aombe, asubuhi aombe. Kiufupi asali. Yesu humsaidia mtu anayejisimamia siyo yule anayesubiri miujiza kutoka kwa manibii sijui ukitoa kiasi fulani cha hela ndiyo unaombewa Yesu hayupo hivyo.
Ukifuata niliyokuambia hautasikia miujiza tena. Kama unategemea ukishaombewa basi una relax, hufanyi chochote, unalala tu, kanisani unahudhurie unapopenda, unasali kwa kubeep leo uombe kesho usiombe, biblia hausomi. Haa itakuchukua hata miaka 200 unateseka.
Hapo anapohisi hofu, unapiga magoti unasali na kukemea nguvu za giza. Omba hata dk 10 au 15 hivi mbona hiyo hali inatoweka.
YESU NI JIBU.
 
Nina ndugu yangu ni mama ameolewa miaka mitano ilopita ana watoto watatu.

Aliwahi gombana na familia iliyotulea mmoja wa memba akamshambulia kama anapiga mwizi akaondoka nyumbani.

Aliishi vizuri miaka ya mwanzo na akapata kazi na kujitegemea. Lakini miezi michache tangu alipotangaza ana mchumba anatarajia kuolewa maisha yakabadilika kila siku mi matukio, mauzauza.

Mama mkwe (sio mama wa kumzaa mume, mlezi tu) akawa hamtaki. Kijana wake akawa anamwambia niambie kwanini humtaki mchumbangu, mama hana sababu.

Baadae sista angu akagundua ma mkwe mshirikina, akilala usiku anamuota anamkimbiza. Akienda kumsalimia ukweni anamuonesha chuki kali.

Tukija huku upande tuliolelewa nako wanamchukia vibaya ndoa yake pia walikuwa wanaipinga wanatuma watu wamwambie mume usimuoe hazai huyo but mume ni muelewa anawafukuzia mbali.

Akolewa wakasusa kuja, alivopata mimba akawa kila akilala anaota hawa ndugu wanamkimbiza wanampiga mateke tumboni.

Ni mengi kapitia mpaka akajifungua.

.....Nafupisha....

Bado mauzauza hayaishi, anaumwa kichwa muda wote analia hajielewi kabisa.

Kila nyumba atayopanga ni mauzauza mara akitoka anaona nyoka, akirudi ndani hayupo. Mara bundi analia usiku kucha. Mara mbuzi analia usiku. Mara wanajikuta asubuhu wamelala sebulenu sakafuni ye mume na watoto.

Kwa ufupi wamehangaika sana.
mahospitali makubwa, kafanyiwa kila kipimo hakuna tatuzo. Kaita mashehe hamna nafuu. Kaita wachungaji pia. Kahundhuria makanisa kibao na kuombewa inakuja nafuu kwa muda tu then yanarudi.

Sasa hivi anadai hawezi kukaa sehemu, muda wote anahangaika tu hata akiwa ndani. Mara anatoka anaenda barabarani kama anajihisi kufa. Anasema ana hofu.

Pia akiwaangalia watoto ni wadogo anapagawa. Hana shida ya pesa anaishi vizuri.

WanaJF nisaidieni hasa huyu atakuwa na nini na suluhisho ni nini? Kama unajua niambie.

Amepitia mengi mno mazito. Wazaz hatuna, ndugu wanafiki.

Anadai kipindu anapigwa walimnyofoa nywele wakazichukua ndio maana hivi sababy wakati anapigwa alivamiwa ghafla hakuweza kujihami. Alianguka, aliyekuwa anampiga akawa anamburuta kwa kumvuta nywele anamparua makucha na kumpiga hovyo.

Naombeni msaada nimsaidie ndugu yangu.
Anitafute mimi Herbalist Dr.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa nipate kumtibia apate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom