Njooni tuongeze idadi ya mapacha Tanzania

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Wazima humu??
Mi cyo mtaalam wa uzaz. Lakn nshawah kuskia kwmba...kuna uwezekano mkubw wa kupata watoto mapacha km mmoja au wote kati ya two parties zilizoshirik kutungisha mimba atakua/watakua wametoka kwny familia zenye uzao wa mapacha!

Km hii ni kwel, bhasi naomba wale wote ambao wana uzao huu (km mlizaliwa mapacha) tukutane hapa ili tuendeleze uzao huu maridhawakwny nch yetu ya Tanzania!

Wassalaam!
 
Mpe mkeo/Mpenzi wako mimba baada ya kushika mimba subiri ndani ya miezi miwili tena mpe mimba nyingine kwahiyo ukijumlisha na ile anakuwa nazo mbili. Hapo unakuwa umepata mapacha safi.
Una pacha wako??...hii ni kwajil ya wenye uzao wa mapacha tu
 
Wazima humu??
Mi cyo mtaalam wa uzaz. Lakn nshawah kuskia kwmba...kuna uwezekano mkubw wa kupata watoto mapacha km mmoja au wote kati ya two parties zilizoshirik kutungisha mimba atakua/watakua wametoka kwny familia zenye uzao wa mapacha!

Km hii ni kwel, bhasi naomba wale wote ambao wana uzao huu (km mlizaliwa mapacha) tukutane hapa ili tuendeleze uzao huu maridhawakwny nch yetu ya Tanzania!

Wassalaam!
Hili wazo peleka kwa wasukuma na wapemba ndio jamii zinazotaka kuzaliana kwa idadi kubwa
 
Lijibu vyovyote unavyo maana lazima tena nitakupiga swali.
Kibaiolojia: cyo lazima kue na uzao wa mapacha kwny damu yenu...kw7bu hata maabara wanaweza kukufanyia fekeche ukapata!
Kujibu swal lko exactly...sijafanya research, so I've no right to speak! BUT, km ukiruhusu maoni yng na nlichoambiwa na wadau wa mambo yauzaz, ni kwmb: pacha haiji kibahati, it's genetically natural!!
 
Kibaiolojia umesema sio lazima uwe kwenye uzao wa mapacha mwisho unasema haitokei kibahati.

Unajua hueleweki?
 
Back
Top Bottom