TOA MAONI YAKO TAFADHAARI

TOA MAONI YAKO TAFADHAARI

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Wajuzi wa Afya asa MaDoctor usema pombe ina madhara kwa Afya lakini hao hao MaDoctor pia wanakunywa Pombe je hii inakuaje....???
 
Madaktari sio Miti na wao wana akili kama zako, Kunywa/Acha pombe kwa maamuzi yako sio ya mtu.
 
Hata viongozi dini husema usizini lakini wao huzini pia. Usimfuate mtu fanya kwa faida yako!
 
Back
Top Bottom