Una kipato cha kutosha, Mama na Baba yako walikuwa hawana kama wewe walizaa watoto zaidi ya 9.
Unasema watoto wengi hutaweza kuwalea ilihali una una uwezo wa kuwalea na kuwatimizia mahitaji yao...
Habarini wakuu
Ninasomo kidogo hapa kwa wanaume wenzangu japo Mimi sio inspirational speaker, ninajamaa yangu wa damu na amekuwa kama ndugu, alikuwa na mwanamke mrembo sana kwa sura na umbo I mean...
Helloooo wana Jf!!!
Mzaha mzaha Mara mbuzi kamng'ata Mchungaji
Jana nilikuwa na shost yangu,"team kudanga"!,ila ni rafiki yangu tangu advance
Kaja kunambia yaliyomkuta kwa danga lake jipya
Shoga...
Jamani naombeni msaada wenu, kesho nitaelekea kwa send off ya dada yangu, Sasa nimepewa jukumu la kumkabidhi dada yangu kwa shemeji yangu.
Naombeni msaada wa maneno ya kuongea wakati namkabidhi.
Wasakatonge nyinyi mupo.
Unaweza ukakuta una watoto wa tatu ila mmjo afanani Na ww .apa mama wa mtoto ata kwa mbia uyu kafanana Na mjomba wake . Ila ata kwambia ww umefanana nae kucha sijui...
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa...
Nimeulizwa swali na mdogo wangu wa kiume ambaye ana mpenzi wake na wanapendana sana.
Hata hivyo binti ambaye ni mpenzi wake, anapenda sana kuweka picha za mabrazamen wa kila aina kwenye WhatsApp...
Asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa either kiuchumi ama kielimu huwa wanaoa wanawake wenye 'low profiles' mfano kuna proffesor mmoja udsm ameoa mwalimu wa shule ya msingi, sio case hii tu kuna...
Inakuwaje mtu unakuwa na nyota fulani na watu kutoka makabila au majina fulani hapa nchini.
Kwani mfano, mabinti ambao nimekuwa kwenye mahusiano nao ni either wasukuma , watu wenye asili...
Apparently kupigana mizinga kwenye relationship ni jambo la kawaida.
So ni mzinga gani mkubwa kuliko wote ulishawai pigwa, je ulimpa?
Na wanawake ni mzinga gani mkubwa kuliko wote ulishawai...
AINA NANE ZA WANAUME HATARI...
1-Asiependa kufanya kazi akisubiri alishwe na mke.
Huyu ni hatari kwa sababu hatokuwa na ujasiri wa kumkemea mke pale anapokosea kwa kukhofia mke asije kasirika na...
Niliachana nae baada ya kumweleza kwa utaratibu na ustadi mkubwa kuwa awe anapiga mswaki kabla hatujalala au pale anapohisi kinywa si safi. Aliniambia nikatafute wasionuka midomo, mapenzi...
Wadau eti nasikia ukiona huumii tena kwaajili ya mapenzi jua ushakuwa malaya...Hapa inaweza kuwa kweli maana pindi unapoumizwa na kupata maumivu ni pale ambapo una mpenzi mmoja ila ikitokea unao...
Nakua Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...
Udaku Special · 8 hours ago
Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.
1.Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia...
Za leo jamani, mimi natabia moja sijui ni mbaya au la naombeni mnishauri. Kwa kweli Mr. kunikasirisha au kunuka pombe nilazima nilae mzungu wa nne ndopo ninapopata usingizi. Je mlalo huu ni mbaya...
Je ni mtu wa msongo wa mawazo !? Hebu tujalibu mtindo huu, Chukua kikamba kidogo na funga kwenye kidole chako cha pili baada ya dole gumba kwa dakika 5-10 kila siku.
Itakusaidia Ubongo wako...
You're my love, my life, The air that I breathe. You're my soul, my happiness, The all that I need.
You're my light, my dark, The stars in the sky. You're my ups, my downs, The reason I try...
Juzi kati nilihudhulia kasemina fulani nikamzoea dada mmoja nikachukua namba nakiri nilimpenda balaa, jioni nikamwita mahali baada ya vinywa na milo ya kutosha nikamwambia tuondoke zetu...