Huu sio wivu ni kero...!

Huu sio wivu ni kero...!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
Nakua Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...
Udaku Special · 8 hours ago

Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.

1.Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafir wa kwetu ni shida,mnabana had kupumua shida.Matokeo yake sipend watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafir wa jumuiya!

2.Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap,hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo,au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe,weka sehem flan then piga picha.

Hii inanifanya ntaokota makopo il nipige picha ili aamini,

JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA.
 
Mbona anakushuku sana?
 
Hongera sana brother na pole sana pia.
1. Hayo ni matokeo ya kupendana sana.
Au yeye amekupenda mno kupita kiwango kiasi hataki hata usalimiane na mwanamke yeyote.

2. Uwe makini na umchunguze huo utaratibu kama umekuja ghafla.
Isije ikawa anaficha makucha/uovu ndani ya wivu wake kwako. Chunguza ila jitahadhali asijue kama wamchunguza.

3. Tumia maneno ya upendo, busara na hekima kuongea naye kila mara ili kumridhisha hisia zake njema juu yako.
Usiwe mkorofi atakushtukia labda unachepuka maana kukulinda ni jukumu lake pia.

Subiri wengine nawe utumie zako pia
 
Ni kwambie kitu chalii yangu !! Mkeo analiwa .. Kama unabisha jaribu kujifanya bwege ,then chunguza taratibu.. Utagundua ..na usikose mrejeshi humu !!
 
Acha uboya wewe fanya kazi, ni kazi ngumu sana kuishi kwa kumfurahisha mtoto wa kike. Fanya kazi achana na hiyo mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom