Natamami ifike wakati ambapo tutakuwa na ndoa za mikataba, ambapo tutawekeana terms and conditions!!
Ambapo mtajadili terms and conditions, na kuzisaini mkiridhia, pia ndoa ziweze kuwa na...
Kuna mambo yanakera sana, kuna mtu nilipanga kuonana nae hivyo tukapanga tuonane sehemu flani tulivu hapa Dar.
Na mimi nikawapanga marafiki zangu kama watatu twende wote coz siku ya kwanza...
Habar zenu wakuu
Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga
Nilikua napata tafakar kuhusu...
Nawasalimu nyote moja kwa moja kwenye mada....
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuwazalisha wanawake bila kuwaoa na kwenda kuoa mabinti wengine wenye watoto au wasio na...
Habari wana Jf
Hii inakuaje unakua na mahusiano na kabint hivi kadogo kwako kiumri kiuchumi hadi kielimu lakini hakina nidhamu kanataka kunitawala.
Kipindi kikileta nyodo zake huwaga...
Kila mtu alishawahi kuwa Na rafiki snitch yule rafiki mbea mbea yaani asisikie kitu kuhusu wewe tayari kitaa washajua au ameshayapeleka kwa bi mkubwa au mahala popote,
Marafiki wa namna hii huwa...
Nimemaliza chuo but baada ya ajira kuzingua nkaanzsha business ya reja reja
Sincerely speaking mwanzoni skuwa na maendleo yyte just kwakuwa nlkuw kwenye uhusiano na girl na alijua kuw...
Habari wanajamvi?
Habari kutoka mitaani zinatanabaisha kwamba kuna ongezako la wanaume kupenda kula jicho ilihali wanawake nao idadi yao ikiongezeka kwa kupenda kuliwa jicho.
Ongezeko hilo la...
Habari waungwana wadau wa MMU [emoji1538]
"Kupanga ni kuchagua" JPM
Nimeanza na hiyo nukuu sasa tuende mbele. Mada yetu kama kichwa cha habari kinavyosema, nadhani inajieleza labda niongeze...
Kwa wanaume Rijari wanafahamu hili mnara unasoma 5G± zaidi pale wakati wa Kuelekea Alfajiri na ndio muda ambao mkojo huwa unabana sana,
Sasa ukitaka kufaidi utamu wa mkojo wako upate choo safi...
Naandika uzi huu nikiwa na maumivu yaliyopitiliza jana wife katoka job akanipita ofisini kama kawaida ili turudi nyumbani kwa bahati mbaya nikashika simu nilichokuta siwezi sahau kidogo nianguke...
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila...
Tumejengewa na jamii kuwa ni jambo la kawaida kwa wanaume kuchepuka ama kuwa na wanawake nje ya ndoa pamoja na haka kamsemo "mwanaume kaumbiwa tamaa"
naomba ladies wenzangu tuambiane ukweli juu...
Ukiangalia na kila nikipita wanaume wengi sana wavivu kununua chupi na soksi au kubadilisha,yaani jitu linatoka na soksi tofauti au imetoboka au chupi chafu na kweli nyie wakina dada semeni ukweli.
Eti wadau, hivi demu ambaye hautokinae kimapenzi wala hujawahi kumtongoza ila ni watu tu mnaofahamiana mnawasiliana , kuchati kupitia simu na hali ya kuwa mwanamume unakuwa kipaumbele kumsabahi...
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali, kuna wanaosema zinawasha, zinapunguza ladha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.
Hatukatai basi kama hilo ni...
Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara.
Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life...