Sisi tuliolea au tunaolea tunalifahamu hili unamuwekea chakula anang’ata ng’ata na kukiacha kumbuka tumbo la mtoto ni size ya ngumi yake kama ulimpa na maziwa au juice atakuwa ameshakula...
Eeeeeeh bwana kuruka ruka sio kuzuri kabisa, kuna upuuzi mmoja nimeufanya na sasa unanitokea puani kuna bar moja napenda sana kupiga maji, sasa Kuna siku nimeenda akawa ameletwa mhudumu mkale...
Watoto hawawezi kuwa tofauti sana na wazazi wao yaani baba na mama. Mchongoma hauwezi kuzaa machungwa na mtoto wa simba si wa chura.
Kuna wimbo unauliza mdudu ndani ya koko la embe kaingiaje? Ni...
Aisee hakuna mchezo mbaya Kama Nyet huwa inaanza Kama utani tu lakini Kuacha ni mithani..Ubaya Ukishakuwa addicted kila siku unajisemea Leo napiga Mara ya mwisho..! Miaka inaenda kuacha unashindwa...
Kuna utafiti umefanyika kuhusu makabila ambayo wadada wengi ndo wanaoongoza kuwa na miguu ya bia,shepu pamoja kufungasha mzigo wa kufa mtu Yaani full misabwandaaaaa
1.Wahehe hao ndo wanaongoza...
Salaam wana jukwaa
Kimsingi Mimi ni muajiriwa wa private sector na salary yangu basic inasoma 350K nikianza kukatwa Yale makodi kodi yao na mapesa ya HESLB nabakiwa na 220k
Tangu nianze kazi...
Mambo niaje
Niende moja kwa moja kwenye maada nikianza kwa kueleza masikitiko yangu kuhusiana na Hawa wanawake zetu.tumeshashuhudia jinsi baba zetu na Babu zetu na baadhi ya member wa humu jf...
Now it's too much yaani unataka mchumba kweli unampata mtoto anatoka sehemu nzuri kwao wanajiweza baba ake ni kigogo au demu anajiweza anafanya kazi yake sehemu lakini bado demu atataka akudange...
Kuna dada flani humu nimemfukuzia kwa marefu na mapana lakini mpaka leo sijaona respond yeyote ,
Kila siku ananiignore na kuniita mimi Zero iQ kwa kuwa sina cha kumpa,
Nilichomwambia ni kwamba...
Taarifa ikufikie ya kwamba ' Utafiti ' wa Kisayansi umethibitisha pasi na shaka kuwa ' Unyonyaji ' wa Matiti ya Mwanamke na kuyashika Kimahaba huku ' ukiyatomasatomasa ' na ' tabasamu ' likiwa...
Hivi unajua unaweza ukatongozwa sana na ukakosa kuolewa?
Hili ndio tatizo linalopata wasichana wengi warembo. Watu wataka kutembea na wewe tu ili wapate kiki lakini hakuna atayekwambia ywataka...
Unakuta mwanaume mzima eti anamuomba mwanamke wake amnyonye chuchu ndio apate stata, Heheeee Hallooooo [emoji108]
Sasa mtihani hua unakuja kwa wale wanaume wachafu mtu kifua kimejaa nywele kama...
Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.
Eee Mungu nisaidie tu niweze...
Bila kupoteza muda naapa kutoppanda mwendokasi wakati huu wa mvua
Nimepanda kutoka kimara kuja Mjini kuna kadada kametota na mvua ana nywele za kubandika halafu vimetota
Zinanuka ajabu utazani...
Kitaalamu wanaume tunatakiwa tupate zile kelele na ile miguno ya kinadada live ipenye kwenye bongo zetu bila kuchakachuliwa na kelele za mziki wa aina yoyote ile kama kuna jirani atasikia atajua...
Habari wakuu!
Limezuka kundi kubwa la maelfu ya wanawake wanaokesha na kuomba kwa ajili ya kupata wenzi wa maisha. Wapo wanakesha makanisani, misikitini na wengine kukimbizana na kuku kwa...
madokta wametoa rai mbalimbali kuhusu kujichua/punyeto... wengine wanasema ina madhra wengine wanasema iko na afya.... kianalojia nataka niwape ufundi wa kupiga hii kitu
ili punyeto iwe salama...
Habari wana JF,
Imekuwa ni mazowea kwa baadhi ya wana mahusiano au wanandoa kusikia kauli kama hizi. "usinibabaishe nina elimu na kazi yangu ninaweza kuendesha maisha yangu mwenyewe" hawa ni wale...
Hakuna jambo liletalo hamasa na ashki kama kuheshimu hisia za mwenzako mapenzi hayana kanuni na kila mtu huongozwa na akili na hisia zake zinavyomuamuru, ili kufurahia mahusiano yako na umpendae...