ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,812
- 60,674
Now it's too much yaani unataka mchumba kweli unampata mtoto anatoka sehemu nzuri kwao wanajiweza baba ake ni kigogo au demu anajiweza anafanya kazi yake sehemu lakini bado demu atataka akudange.
Nani huyo aliyewaruhusu huu upumbavu kwamba kawadangeni wanaume? Hiyo style yenu me sikubali; sio kweli tena hamuoni hata aibu.
Au nasema uwongo wanaume wenzangu? Ni mimi peke yangu ndo nawapata wanaonigeuza mradi?
Siku hizi mpaka tunawaogopa wanawake kwa sababu unamtongoza hata siku mbili hazipiti kashaanza kupanga mashambulizi ya kukudanga. Mnasababisha mpaka wale wanawake wasio na hio tabia kukosa wanaume kwa sababu imefika muda wote tunawachukulia mpo hivyo.
Mnakera sana, ina maana hamuoni kama maisha magumu siku hizi?