Sitapanda tena mwendokasi wakati wa mvua

Sitapanda tena mwendokasi wakati wa mvua

issaaman

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
1,145
Reaction score
1,381
Bila kupoteza muda naapa kutoppanda mwendokasi wakati huu wa mvua
Nimepanda kutoka kimara kuja Mjini kuna kadada kametota na mvua ana nywele za kubandika halafu vimetota
Zinanuka ajabu utazani mchuzi wa pweza waliooza
Karibu kutappika gari imejaa sana hakuna pa kusogea
Na wengine hawaogi wakati huu wa baridi
Mtu anatoka nyumbani hivyo hivyo wengine wamelala na waume
Ndani ya gari kunanuka Kama ngombe aliyeoza
Nasema sipandi tena mwendokasi wakati wa mvua
Je wewe umekutana na adha gani wakati huu wa mvua?
Nawasilisha mada hii
Nipo maabara nappima kichefuchefu Kama kimeniathiri
 
Hahaaa. Utakuwa umepanda gari za kivukoni mkuu. Huwa zina harufu kali kutokana na wauza zamaki kubeba kila asubuhi kutoka feri.
Ushauri wangu panda gari za gerezani then ukifika fire chukua za kivukoni
 
Pole mkuu mimi nipo kwenyeforeni nahelekea kimara hila hiyo daladala niliyohipanda kunayomi ya habilia kama yote.
 
Hahaaa. Utakuwa umepanda gari za kivukoni mkuu. Huwa zina harufu kali kutokana na wauza zamaki kubeba kila asubuhi kutoka feri.
Ushauri wangu panda gari za gerezani then ukifika fire chukua za kivukoni
Nimekupata mkuu
Ahsante Kwa ushauri wako wa nauli mara mbili
 
Kwani hako kadada ndio mwendo kasi mpaka uchukie mwendokasi?
 
mimi alikuja mdada amevaa light skirt halafu ameloa na mvua akasimama mbele yangu halafu tumebanana hata kugeuza shingo haiwezekani.... nilipata tabu sana ikabidi nipitilize vituo kama viwili kutoka nilipotakiwa kushukia maana ningeshuka ingekua aibu kitu kimevimba hakitaki kusleep...
 
Back
Top Bottom