Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake...
Habari za jioni, leo nadedicate masaa kadhaa ambayo nitatoa ushauri kwenye masuala mbalimbali ya mahusiano. Wale watakaopenda niwape ushauri hapa karibuni na wale mtakaopenda kushauriwa kwa...
Hello Guys,
Leo tuambizane nini baba yako ama mlezi wako wa kiume, amekuwa akikufundisha/akikueleza/ kushauri kuhusu maisha na mahusiano kwa ujumla wake ili nasi pia tujifunze/kuchota busara za...
1.Siku ya kwanza atakuja na chupi mbili, moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi.
2.Siku ya pili anakuja na khanga anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango...
Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke.
Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY
Elimu yangu ni diploma ya sheria...
1. Jitahidi wasiwe na mazoea ya kijinga.
2. Kama upo home jitahidi kutoa huduma za chakula we mwenyewe
Mengine jiongeze usimwamini mwanaume hata kama amekufa...
Habari wana jamvi
Nina(follower) rafiki mmoja wa kike kwenye mitandao ya kijamii,hatujawahi kuonana uso kwa uso, bali kupitia mitandao ya kijamii
Alipokuwa anapost picha nilikuwa namsifia alivyo...
Ukiwa mrembo, mzuri na umejaaliwa kila sifa kiasi cha wanawake wenzako wanatamani kuwa kama wewe, halafu ukakosa akili, msimamo, na kutawaliwa na tamaa za kijinga.
Hakika utakuwa daraja maisha...
Kinachopelekea wapenzi wengi kuingiliana kinyume na maumbile...ni kuprefer makalio makubwa...
Kwa sababu hata uyapende makalio utayafanyia nini cha ziada kwenye mapenzi zaidi ya kuyashika tu...
Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Wapo mameneja wengine wahudumu. Huku mfyagizi kule CEO. nk nk.
Kuna wakurugenzi na walinzi. Huku makarani kule...
Wenyeji wa humu heshima iwe kwenu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ujumbe niliotumiwa na mpenzi wangu nimeshindwa nimjibu nini.Hivyo kupitia hapa naombeni ujumbe maridhawa nitakaompatia...
Kuna kisa kimoja hivi...kwa atakayenielewa atakuwa amejifunza kitu...
Siku moja kuna kipofu tangu azaliwe ndivyo alivyo kipofu... Siku moja Allah akambariki kuona kwa muda mfupi sana...alafu...
"Magazeti yaliyopinga Vita ya UNGA sasa yanapinga Vita ya MADINI...na tunaelekea kwenye Vita Dhidi ya USHOGA...hapa sasa ndio Wahariri wake watavaa VIKUKU.
My Nation, My All time Love
Kuna rafiki yangu mmoja more than a friend alikua na mpenzi wake walipendana sana japo walianza wakiwa wadogo, walipeana ahadi nyingi sana maishani mwao mpaka wazazi wa pande mbili wote walijua...
Habari wakuu
Miaka ya nyuma sana wanawake walikua wanatabia nzuri sana japo walikua hawajilembi na kujipamba kama kipindi hiki.
Yani saizi wanajipamba sana lakini ndio tabia mbovu sana...
Habari zenu :
Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo...