Wana JF, natumaini mko salama,
Kwa heshima zote, naandika from my heart. JF ni platform inayowakutanisha Watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo...
Wasalaam wana Jf
Basi bwana nakumbuka siku moja ilikuwa jumatatu asubuhi mwaka 2014.niliamka vyema nikajiandaa kwenda kazini.
By saa 1 asubuhi nikasikia honi getini kwenda namkuta mpenzi wangu...
Katika kijiji cha Nyamashekhe kilochopo mkoa wa magharibi nchini Rwanda kumekithiri utamaduni wa wanawake kulipa pesa kwa mwanaume ili waolewe.
Mtindo huo mpya wa maisha umezua gumzo katika jamii...
Wale ambao washawahi kuwa na mademu watatu wenye wivu na wanaotaka kuonana nao kila siku bila wewe kuwa na kisingizio chochote njooni tusaidiane!
Kuna mademu wanaganda zaidi ya kupe!imagine kila...
Haombi hela kwenda kusuka saluni sababu hasuki
Haombi hela ya losheni au cream sababu hapaki mafuta
Haombi hela ya makeup wala wanja haitaji kupaka
Hatokuomba hela ya shopping
Hatokuomba nauli au...
Salamu wana MMU!!
Mwezi wa 5 mwaka huu nilikutana na binti kiumri ana miaka 18 nikampa namba yangu then nikaendelea na safari
Baada ya siku kadhaa yule binti akanitafuta kupitia simu ya rafiki...
Wanawake wa Mjini siku hizi na wao wana Kombe lao la DUNIA, Kila ikifika Usiku J3 hadi Ijumaa wanaendaga kuangalia Tamthilia ya SULTAN kwenye Mabanda ya Michezo. 🤣
Hivi kwa wale wanaume wanaobana suruali mpaka kila kitu kinaonekana halafu shati limebanwa kama nini huo sio usmart huo ni ushamba kwanza hujisikii kutembea kwa stepu .
Hukai kwa raha hukai kwa...
Kwenu nyie kina dada mfano unakuta unajijua kabisa Hali yako kwamba una upungufu wa Kinga mwilini halafu unakubali mpaka Mimi nachomeka dudu langu kwenye uke wako Kama sio kuua mtu kwa makusudi...
Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Kuna walalahai na walalahoi.
Wapo mameneja wapo wahudumu. Huku mfyagizi kule CEO. nk nk. Hapa RC kule katibu...
Wataalamu wanasema hivyo.
Hiyo ni kwa sababu kila rafiki ulie nae au unaeishi nae atakuja kuondoka kwenda kutafuta maisha yake! Marafiki wengine watafuata mwishowe utabaki mwenyewe ila familia...
Mpenzi wangu ana urafiki na mwanaume niki mwambie aachane urafiki na uyo mtu hataki nikimuuliza kwa nini anasema ni rafiki tuu. Kinacho nikera ni mazoea yao pia anapenda sana mazoea na wanaume...
Habari wakuu.
Nisiwe mchoyo wa Elimu. Nilipewa bure nami nitoe bure.
Wanawake wapo tofauti tofuati lakini makundi mawili katika kufanya mapenzi ndiyo huweza kujitokeza. Wapo wanaohitaji mechi...
Kuna watu wanaheshima zao hapa mjini, kila anapopita anafahamika hivyo akisema aende hotelini na mwanamke basi taarifa zitavuja.
Ambacho huwa wanakifanya ni kuwahi sana ofisini, kisha wanafanya...
Nimewahi kumuhonga secretary kazini kwetu laki mbili,niliumia sana hasa baada ya kugundua kuwa pamoja na uzuri aliokuwa nao kitandani alikuwa amelala kama gogo,sidhani kama nitakuja kuhonga kiasi...
Ni Ukweli ulio wazi kwamba baadhi ya Wanaume wanaumiza, kuliza wanawake
Kiasi kwamba wanawake Wanaota Sugu Na kusema liwalo Na liwe.
Ukweli uliopo ni kwamba
Wanawake/ wadada wengi ni Waaminifu...
Hata Kama hakuna joto utashangaa nime sweat Kama vile nimekimbia mbio za Marathon.kama tume undergo kifo Cha mende ndo kabisa majasho ya usoni yatamwangukia machoni pake na hivi Yana chumvi chumvi...