Mzee Mchochezi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 125
- 244
Salamu wana MMU!!
Mwezi wa 5 mwaka huu nilikutana na binti kiumri ana miaka 18 nikampa namba yangu then nikaendelea na safari
Baada ya siku kadhaa yule binti akanitafuta kupitia simu ya rafiki ake nikaongea nae mawili matatu,akaniambia anasoma tuition ili mwakani afanye tena mtihani,maana alimaliza mwaka jana ila matokeo hayakua mazuri
Tukaendelea kuwasiliana na mwisho kuwa wapenzi,baada ya kuja ghetto mtoto nilimkuta bado mbichi yani bikra,nikafanikiwa kumtoa bikra
Nikaendelea kupiga mzigo ,kiukweli umbo la huyu binti ni dogo sana yani kwa haraka haraka unaeza dhani ni mtoto wa darasa la 5
Sasa siku moja nipo lodge namtia ,ile natoka kuna wakuda wakatuona ghafla tukavamiwa na nikapewa kesi ya kumpeleka guest mwanafunzi,kilichoniponza ni lile umbo dogo la binti so wakajua moja kwa moja ni mwanafunzi
Baada baada ya mabishano ya hapa na pale nikapelekwa kituoni sambamba na dogo, baada ya kuchukua maelezo ya binti akaruhusiwa kwenda kwao akisindikizwa na Mwenyekiti alietukamata na genge lake.
Mimi nikabaki kituoni na kutupwa selo kusubiri kesho ifike ili ndugu wa binti waje na wangu ili tuone namna kesi inavyokwenda
Ila ilipofika usiku wa manane nikatolewa selo nikalipa hela nikaachiwa usiku ule ule ili asubuhi niwepo kazini na soo lisifike job
Huyu binti hapa mjini anaishi na dadake ambaye anampa msaada wa kula tu hasa chakula cha usiku(binti muda mwingi anashinda tuition) na kulala na yupo kakake ambaye anaishi eneo lingine lakini anaonekana hana msaada kwa ndugu yake
Sasa baada ya kesi kuimaliza nikaamua kumpiga chini huyu binti kimya kimya pasipo kumwambia ila tatizo lililopo binti ananipigia sana simu na kulalamika njaa yani anaishi maisha flani ya kukaa na njaa muda mrefu
Wakati yupo na mimi nilikua namsaidia hela ya matumizi ila now nimekaa nae mbali anapata tabu sana
Akiomba hela kwa kakake ambaye aliing'ang'ania ile kesi anamwambia hana hela,dogo hajui anaishije ,kwao hela hawamtumii,sasa amekua akinisumbua Mimi
Je nimfanyaje huyu binti aache mazoea manake naona atakuja nisababishia majanga mengine,mimi ndo nimemfundisha mapenzi so kumwambia direct simtaki nahisi ntamuumiza zaidi,je nifanyaje ili yeye mwenyewe aniepuke kama ukoma??