Kwa wanaume wanaovaa mibano ofisini tuwaeleweje?

Kwa wanaume wanaovaa mibano ofisini tuwaeleweje?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Hivi kwa wale wanaume wanaobana suruali mpaka kila kitu kinaonekana halafu shati limebanwa kama nini huo sio usmart huo ni ushamba kwanza hujisikii kutembea kwa stepu .
Hukai kwa raha hukai kwa raha huishi kwa raha.
Vaeni mavazi mnayohema nakuishi kwa amani.
Acheni vibanio.
Mke mwema anatoka kwa Mungu.
Sio kutokana na vibanio.
Mnavyovivaa mimi siwezi kuwa na mtu anayevaa vibanio kama nini hata anipendeje siwezi kwa maana sio heshima kuvaa vibanio.
Sisi tunawadatisha nyie je nyie??
So jamani chochonde vaeni mavazi ya heshima ndio mtaheshimiwa.
 
Wananiudhi Sana sikuhiz natembea na wembe tuu lazima nikuchanie
 
Wananiudhi Sana sikuhiz natembea na wembe tuu lazima nikuchanie
We acha tu na ndio maana wanaume wanaishia kujiremba mpaka na kunyoa nyusi na kubana sauti.
Mtaishilia kuolewa.
Maana majini mahaba wanafuata watu kama nyie
 
Mm nivae mbanio na mwanaume wangu avae mbanio!? Sasa m'mke atakuwa nani hapo?! Na anabana ili aonyeshe kitu gan labda?! Na kuna wanaume wamejaaliwa maumbo mashaalah!! sasa cjui nae akivaa mbanio inakuaje, maofisin huko ni shidaaaa..
 
Wenzako wanapenda vinaitwa slim fit na sio vibanio, wewe kama hupendi ni wewe, hata sisi hatupendi mawigi yenu yanakera na fake hair zenu kama mizimwi
 
Wenzako wanapenda vinaitwa slim fit na sio vibanio, wewe kama hupendi ni wewe, hata sisi hatupendi mawigi yenu yanakera na fake hair zenu kama mizimwi
Mimi na natural hair nazimefika mgongoni.
So mawigs ni kumaliza hela dawa nikuleta magonjwa ya ngozi so najipenda nakujitunza .
Acheni kuvaa vibanio kwa afya zenu.
Kwanza zinaleta fungus vibanio.
Mbili zinaleta ugonjwa wakuzimia kabisa kwa maana hupati hewa yakutosha.
Tatu unaonekana huyu mkaka niaje.
Ila ukivaa wastani suruali ikakukaa vizuri hata wanawake wakuoa watajitokeza ila kwa sasa watatokea ambao hawajitambui why kwaajili ya uvaaji watu serious hawataki watu vibanio wanataka wanaovaa kiheshima.
Kama umeoa badilika kama unataka kuoa vaa vizuri jamani.
Nimeona nimezimia hadi amuhemi.
Awezi hata kusimama asubirie haisi nini??
Tatizo mnakopi vibaya wenzenu hawajiui kama nyie so jaribuni kuiga vizuri yaani hadi hamtembei kwa raha.
 
Usmart uliopitiliza inakuwa noma.. ila kiukweli sipendi kuvaa mabwanga
 
Unakuta dume vikalio vimebanwa halafu vimechomoza kama kachorwa, ukimwangalia unaona aibu wewe.

Sawa slim fit inapendeza lakini isiwe kama zile skin tight jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom