Wakuu
Nilikuwa kwenye chombo cha usafiri nimekaa nimepiga tai yangu safi, mara akaja jamaa akakaa karibu yangu
Miguu imechanika chanika,jasho limegandiana kwenye nguo,anatoa harufu ya beberu,mara...
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana...
Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure .
Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding...
kulingana na muonekano wa maisha saiv naafadhalisha kuwa single kwa sababu upendo katika maisha ya ndoa haipo mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri ilhali mwanaume anampenda mwanamke...
Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers.
Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha...
Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa...
Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja...
1: Mavazi.
Hakikisha haliilii kuhusu kuvaa. Awe na mavazi ya kumtosha.
2: Chakula.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uzuri wa mwanamke na chakula. Hakikisha Kila anachokitaka ili ale kinapatikana KWA...
Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa.
Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja...
Hellow wadau,
Hivi wanawake wanaofanya mapenzi kimyume na maumbile wanapenda au wnafanya kuwaridhisha wapenzi wao? Nimekuwa nikijiuliza swali hilo kwa muda mrefu, naombeni wadada wa humu JF, na...
Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako.
Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi.
Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima.
Ndoa...
Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb...
Hii changamoto imekuwa ikijitokeza sana. Kila unapotembea na ndomu mfukoni kwa ajili ya usalama, haupati pisi.
Ila siku ambayo hauna hili wala lile, unashangaa ghafla unaokota dodo chini ya...
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali...
Wakuu habari! Poleni na majukumu na hongereni pia.... Nimepewa ruhusa na mhusika wa tukio hili niweze kushare humu ndani kisa kilichomtokea kutoka Kwa Binti aliyemuoa yapata miezi mitano Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.