Habari za wakati huu wana Jf i hope mko salama kabisa na poleni kwa harakati za kila siku za utafutaji..
Wanaume wezangu hebu tuweke kambi kidogo kwenye uzi huu..
Hivi mchepuko unampa pesa,gari...
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu...
Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha...
Miaka ya nyuma muda wa kampeni ukifika kwangu ndio ulikuwa muda mzuri mno wa kula vidosho wa kila namna. Nilikuwa nasafiri na misafara ya wagombea ubunge sehemu mbalimbali na ifikapo usiku,aiseee...
kwenu wana jf;habarini za mchana kwa waliomchana ;tumejitahidi kuona na kusaidia jinsi mtu anavotakiwa kuishi baada ya ndoa;tumeona watu wengi wanavyofanya sherehe ya harusi kubwaa ama ya kawaida...
Salute comrades.
Acha nisemee upande wa wanaume wenzangu kuhusu hili suala la mtu kuwa na hii tabia ya kukupigia pigia simu na kutumia message kila wakati baada ya nyinyi kubadilishiana...
Wakuu,
Kuna mambo ni ya aibu na ni ngumu kuyasema kwa mtu yeyote ndani ya familia au jamii yako inayokuzunguka kumhusu mkeo au mume wako!
Mambo hayo ya siri au ya aibu mara nyingi hubaki kwa...
Ndugu.
Kataa ndoa kuna namna kama wameshinda hii vita pamoja na ile vita ya single maza.
Huko duniani kila nikiangaza huku na huko sioni tena pear pear zikiongozana na kwenye maboma huko kusikia...
Wanaume wenzangu!
Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake.
Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi...
Kama mnavyojua Sekta ya Mapenzi ndio sekta tukufu kupita zote..
experience matter more..
Kuna Class mate wangu wa sekondari tulikutana chuo japo yeye alienda Advance mimi sikwenda, Alinikuta...
Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia
Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna...
Mambo niaje wakuu?
Nina mchepuko wangu ni mwalimu shule moja ya secondary hapo Mwanza,kaniaga kuwa mkurugenzi wao wa jiji kasema lazima waende kwenye mkesha wa mwenge.
Swali langu ni,je huko...
Nothing is conicidence, every soul you meet is written in your destiny to teach you to heal you or to love you❤️.
📌The people we love most through our journey of love hurt us most!
It's hurts...
Mwanafunzi wa chuo cha UDSM aliyejitambulisha kwa jina la Neema Nairot kupitia ukurasa wake wa Instagram, amedai kuwa amekuwa akipitia manyanyaso ya kijinsia kwasababu ya mwanaume ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.