Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello, Nimekuja kwenu ndugu zangu naomba mnipe mawazo yenu, naomba mnishauri kama ndugu au rafiki yenu. Sitaficha chochote. Nilimaliza chuo miaka kama 5 iliyopita nkapata kazi private after two...
10 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara...
12 Reactions
207 Replies
6K Views
Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona'...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume. Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na...
24 Reactions
160 Replies
3K Views
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu Usipange kukosa nyuzi zangu za maana kabisa soon nitaanza kuzishusha ktk jukwaa hili la MMU! Nondo hizi zitakujia baada ya mimi General Ngona na nitajiita rasmi KINGD LOGISTICS & CO. na...
0 Reactions
11 Replies
377 Views
Kijana najua upo katika hali ya sintofahamu kuwa ukiacha kusimp utaishi vipi katika jamii hii ambayo imeamini kuwa simp ndie mwanaume bora kwa mwanamke. Mimi ninae kuandikia hapa sio simp na...
17 Reactions
105 Replies
4K Views
God over Everything Also God please give them hope patients and prisoners and to him nothing Imposssible. I'm 26 years old Muslim God fearing person Self-esteem Hard worker Government servant...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJAMII! Kuna cha kujifunza ktk hii true story! Ulikuwa umetoka kumaliza Form 6. Ulikuwa unaishi maeneo ya Ubungo, jirani na kituo cha dala dala maarufu BAKWATA, kati kati ya...
11 Reactions
274 Replies
34K Views
nahitaji mchumba mwenye umri 25-35 mwanamke alie tayari anicheki whatsaap tuyajenge 0694599179 nahitaji alie serious na tayari kuyajenga mahusiano.
4 Reactions
15 Replies
786 Views
Niseme tu mmepata tunu ya kipekee Binafsi huko nyuma nilikuwa na kitambi Nikakiachia kweli kweli bila kujua madhara yake kuanzia kiafya mpaka ndoa Nichukue nafasi hii kumshukuru mke wangu kwa...
1 Reactions
4 Replies
393 Views
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao...
2 Reactions
7 Replies
798 Views
Wakuu, Hii ni story ya kweli kabisa Huyu jamaa alioana na mkewe mwaka 2004. Lakini mkewe alikuwa ana-earn zaidi kuliko yeye. Jamaa aliku. wa anatafuta kazi na muda mwingi alikuwa yupo nyumbani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu. Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki. Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu? Note: Umri...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Je wanawake Kwa siku mizunguko na kazini toka asubuhi mpaka jioni chupi moja inatosha? Au awe na mbili? Je akiwa na moja Kuanzia asubuhi mpaka jioni itatoa ule mstari wa uke (discharges) na je...
4 Reactions
91 Replies
2K Views
Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
2 Reactions
13 Replies
621 Views
Tumsifu yesu kristo./ asalama leko wakuu juzi kati nilikua kwa mchumba wangu. kulikua na mvua siku hiyo nikaomba aniwekee simu kwenye pochi yake. Ukawa muda umepita tumefika nyumbani sikuchukua...
8 Reactions
170 Replies
7K Views
Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu...
39 Reactions
193 Replies
11K Views
Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom