Wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku,
Kwanza nitangulize samahani kwa dada zangu kwa kuzungumzia bikra ni hivi!
Kwa kweli mimi nakuwa bored sana haswa pale unapokiwa na demu alafu anaanza...
Habari za usiku.
Juzi lati bwana nilitongoza binti flani hivi. akakataa, kumbe alikuwa Ana bipu. Sasa nami nkamkatia tu mazima na kupotezea
Jana tena kajileta eti OOHH nilikuwa nakutest, Mara...
......Arbortion mbaya haitakiwi,ila kuna mazingira Arbortion inatakiwa kuokoa maisha ya mama.
NB:Kuwa makini, Jamaa wanapigaga Mzigo Sana Hawa tunaowapeleka kutolewa hizi Unwanted Pregnant.
Period
Kwakuwa kila roho ya binadamu ina ushetani ndani yake... Hupenda kuwaza kwa mtazamo wenye kumfurahisha na kumpa nafuu ya nafsi(dhana ya matamanio)
Yani huwa na Majibu yake tayari mawazoni mwake...
Ladha yake nyama tupu, nyororo tena mororo kabisa
Steki yake laini kama supu ya mapupu
Jicho lake kubwa tamu! Lakini jicho ndogo lina ladha adimu! Chukuchuku na pilipili manga! Mchuzi rojo, moto...
BARAKATIL EID WANANAJAMVI!,
Naomba kufahamu kutoka kwenu ktk pitapita zangu Moshi,Arusha,Bagamoyo na huku Zanzibar nlipo sasa nimeona wazungu wanawake wanapenda kuwa na mahusiano na wanaume...
Hebu tupate tena nafasi adhimu ya kushauriana na kutiana moyo.... Tunaihitaji hii faraja.. Ili tuweze kusonga mbele tena..
Nisiwe na upande kwenye hili kwakuwa wanaoipitia hizi changamoto ni wa...
nyie mademu acheni kunitongoza tongoza mkiendelea.ntawanika
kuna siku niliweka uzi kuhusu yule demu wa kisomali niliyemgonga nyuma asa mademu wa umu kumbe wanapenda huo mchezo wengine wake za watu...
Nipo nje ya mji kidogo kwa ajili ya msimu huu wa sikukuu. Sasa hapa nilipofikia ni barabarani kabisa. Naona magari mengi sana yanatoka kaskazini kwenda Dar.
Mbona mmewahi sana kurudi? Hata xmas...
Jamani nmegairi kumuacha mpenzi wangu acha niendelee kuwa nae tu sababu ananipenda sana. Na naona kabsa kama nikimuacha nitakuwa nmemkatili kabisa, so wale wote waomba no muniache kidogo
Ndugu hapa kwanza tuelewane simaanishi wanafunzi tuwaache wasome,namaanisha wale waliomaliza form4 wakafeli wengi wao ni 17-20..au darasa la7 wakafeli na huwezi hakuna ...
Nilipitia changamoto...
Kwamba kumbe Mwanaume yoyote vile unavyomfanyia Mwanamke ( Dada wa Mwenzio ) hasa unapokuwa nae ' Mapenzini / Ngononi ' hasa hasa kwa Matendo mabaya ( ya Kikatili ) basi kaa ukijua kuwa hata Wewe...
Swali kwa wanawake wote ambao bado hamjaolewa kama una Mpenzi/boyfriend ambaye ukimuomba 10000 au laki anakuzungusha na hata akikupa huenda yeye kule akawa anajipiga makofi mixer kukutupia laana...
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani?
Ipi unadhani ni ya dhati?
Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri...
Umofia kwenu wakuu, naomba mumsaidie mwanamke wangu ana maji mengi hadi anakosa confidence ya kuduu.
Mimi mwenyewe yananikera lakini basi tu ninampenda sana siwezi kumwacha.
Afanye nini maji...
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini...
Maisha ya uhusiano yana nafasi kubwa sana katika maisha yetu kwani uwekezaji wake unatoka moyoni.
Moja kati ya matarajio makubwa ya binadamu yeyote aliyeko na anayetaka kuingia kwenye uhusiano wa...
Mwanamke au Mschana kukutongoza kwa uapande wao ni ngumu sana na ni asilimia chache sana wanaothubutu kufanya hivyo lakini kwa baadhi ya wanawake wanakuonyesha hisia ambazo ni lazima kama ukiwa...