kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 207
Jamani nmegairi kumuacha mpenzi wangu acha niendelee kuwa nae tu sababu ananipenda sana. Na naona kabsa kama nikimuacha nitakuwa nmemkatili kabisa, so wale wote waomba no muniache kidogo
Kweli usiamue ukiwa una hcra, na usiahid ukiwa na furaha, hahahahaah, kila la kheri, ucsite kurud tenaJamani nmegairi kumuacha mpenzi wangu acha niendelee kuwa nae tu sababu ananipenda sana. Na naona kabsa kama nikimuacha nitakuwa nmemkatili kabisa, so wale wote waomba no muniache kidogo
HahahaWaliokushauri umuache cdhani kama watakanyaga humu
Mwanzo upi unautakaSasa huu mrejesho mwanzo wake ni upi?
Hahaha asante sana mkuuKweli usiamue ukiwa una hcra, na usiahid ukiwa na furaha, hahahahaah, kila la kheri, ucsite kurud tena
Hahahaha kweli mkuuha ha ha ha haya mambo hayaitaji ushauri
Ucjali kapicha kanakuja soon tuuKapicha basi ka huyo usieweza kumuacha kunogesha uzi wako
Mrejesho utakuepo tuUsiache kutupa tena mrejesho baada ya muda.
Sawa Mkuu nmekuelewa nitafanyia kazi mawazo yakondo maana huwa sipendi kuwashuri waliopo kwenye mahusiano, maana leo umemshauri waachane na kutoa refference kibao keaho unawakuta regency wanakula na wana furaha , pia UKIGOMBANA NA MPENZI WAKO USIOMBE USHAURI MALIZANENI WENYEWE