Chakula kipi cha kupeana nguvu za kiume

Chakula kipi cha kupeana nguvu za kiume

Imani2018

New Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Jamani niwaulize wenzangu, chakula kipi ukimpa mwanamume mambo yanakuwa safi kitandani? Ama wewe kama mwanamume kipi ukila unapeana huduma ya nguvu?
 
Aisee, kweli nguvu za kiume siku hizi ni changamoto haswa.

Mwambie
...ale sana matikiti na mbegu zake


...awe na desturi ya kula mbegu za maboga (anaweza kuzisaga na kuutumia unga wake kwenye uji, juisi ama kulamba)

...awe anafanya mazoezi (sio ya kucheza viduku, hapana ya viuongo i.e push/pull ups, kuruka kamba nk nk)

...asiwe anaangalia sana porn (hii inapunguza msisimko kwani anakuwa anaona papuchi ni ya kawaida wakati sio)

Akichemka nitafute kwa maelekezo mengine.
 
Aisee, kweli nguvu za kiume siku hizi ni changamoto haswa.

Mwambie
...ale sana matiki na mbegu zake


...awe na desturi ya kula mbegu za maboga (anaweza kuzisaga na kuutumia unga wake kwenye uji, juisi ama kulamba)

...awe anafanya mazoezi (sio ya kucheza viduku, hapana ya viuongo i.e push/pull ups, kuruka kamba nk nk)

...asiwe anaangalia sana porn (hii inapunguza msisimko kwani anakuwa anaona papuchi ni ya kawaida wakati sio)

Akichemka nitafute kwa maelekezo mengine.
Naona nimefika kwa daktari. Asante sana kwa jibu lako hilo
 
Karanga,korosho,mihogo mibichi, matunda kiasi na mpatie balance diet kila siku, hakikisha uko peke yako, isije ikawa anamalizia nguvu zake kwa michepuko,maana wanaume washenzi kama nyau
 
Jamani niwaulize wenzangu, chakula kipi ukimpa mwanamume mambo yanakuwa safi kitandani? Ama wewe kama mwanamume kipi ukila unapeana huduma ya nguvu?
Cha kwanza muulize kama anapenda kupiga nyeto kama anafanya ivyo mshauri aache kwanza pia kama afanyi mwambia kabla ya shoo ale ndizi mbivu inasaidia sana kingine anywe chai ya tangawiz iliyochanganywa na asali inasaidia pia ila msaada mzuri ingia YouTube angalia clip za mazoezi ya kegel ni msaada mkubwa sana maana yenyewe inaimarisha misuli ya uume
 
Ulaji wa wanga kupindukia, matumizi ya sukari, vinywaji vyenye sukari zikiwemo juice za kutengeneza majumbani na matumizi ya mafuta yenye kiwango kikubwa cha omega 6 mfano mafuta ya mbegu, vimechangia sana upotevu wa nguvu za kiume.
 
Aweze kupima uwingi wa damu (hbkuanzia 12 mpaka 14 ni nzuri ,na awe anakunywa maji ya kutosha,ndizi pamoja na vyakula ya kuongeza joto mwili.bila kusahau mboga za majani kama HB itakuwa ndogo.mazoezi ni muhimu pia hasa yale ya viungo
 
mwishowe tunafundishana kupiga nyeto ukubwani.
 
Back
Top Bottom