Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Orodha fupi ya wanawake waliowahi kudaiwa kuvunja rekodi ya kuwa na wanaume wengi zaidi kimapenzi (hasa kupitia filamu au matukio ya watu wazima): Wanawake waliotajwa kwenye rekodi za “gang...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwakweli limekuwa ni jambo la kushangaza sanaaa, katika nyakati za sasa, kwa kuona wanawake si wasichana tu bali hata watu wazima hata wengine wameolewa, wanapapalika na kufuga kucha zao za...
9 Reactions
21 Replies
914 Views
Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake. Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo...
15 Reactions
64 Replies
3K Views
MEN TO MEN Nimefany uchunguz ni kweli karufuu pia kwa mwanaume inaongeza joto kweny ume , ni me date na WA dada 5 wanasema Nina joto sana wanacum kirahisi siri ni karafuu
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano. Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Simp ni aina ya mwanaume asiyejiweza mbele ya wanawake na ambaye yupo tayari kujitoa kifedha,muda,na jitihada bila mipaka ili tu kumfurahisha mwanamke bila mrejesho wowote kutoka kwa huyo mwanamke...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Hamjambo, Ninavyokuwa najifunza mengi. Zamani nikisikia mtu kafumaniwa najiuliza hivi huyu mtu haridhiki na mkewe? Isitoshe mbona mke wake mzuri tu, Kumbe bwana mpenzi, mchumba, mke ata awe...
2 Reactions
305 Replies
19K Views
Mara nyingi watu huchanganya kati ya masimp na ma’gentlemen kwasababu ya ufahamu finyu wa hawa watu wanawakilisha haiba gani. Simps na gentlemen ni viumbe wawili tofauti ambao hawafanani hata...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama...
16 Reactions
140 Replies
5K Views
Sex ni tamu ila haimanishi ndio mwisho wa hamu zote. Watoto wanadatisha lakini haimanishi ndio ujizime data. Nafsi yako inastahili zaidi ya kuhangaishana na milupo ila mtalimbo wako...
5 Reactions
6 Replies
542 Views
Zamani biniti akija geto anakuja na hotpot la ubwabwa ..Wa leo anakuja na njaa ya laki
11 Reactions
15 Replies
957 Views
Vijana tafuteni hela kwanza [emoji389]! Mnawekeza nguvu kubwaaa kwenye ngono kama vile ni biashara ya hisa [emoji849], wakati muda wa kuwekeza kwenye maisha yako ndio huu. Uzee unakuja fasta...
0 Reactions
3 Replies
291 Views
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua. Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin...
51 Reactions
169 Replies
7K Views
Igweeeeeeeee!!! RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! ) Im...
38 Reactions
439 Replies
51K Views
Nafikiri wana wameshamaliza warembo wote humu ndani maana kila kukicha ni nyuzi za "nimetokea kumpenda huyu member flani na flani" 🤣
10 Reactions
115 Replies
2K Views
NRNE Samahanini kama ntakuwa nawakwaza kwa kuliongea hili wakuu, binafsi nimesikitishwa sana na hii tabia ambayo baadhi ya wanaume wanayo humu. Ukija kuomba ushauri kuhusu mahusiano humu kuna...
28 Reactions
224 Replies
5K Views
Wajomba! Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara. Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara...
20 Reactions
187 Replies
8K Views
Jamaa haelewi manake mchana hali inakuwa normal lakini ikifika usiku mke wake anaweza kujisaidia hata mara tano haja ndogo. Tumpe mwongozo mwenzetu.
9 Reactions
85 Replies
3K Views
Wakuu Kuna mambo si ya kufumbia macho,watoto wadogo huanza kuingia ktk mapenzi kwa ushawishi wa wanawake wa umri mkubwa. Nyumbani nina mdogo wangu miaka 13 alimaliza shule ya msingi akafeli ana...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu ,,,hivi mwisho wa mtu KUUMIZWA na MAPENZI ni miaka MINGAPI?.. Mimi sasa naona nimezidisha over 30yrs na bado nasagishwa rumba napelekwa mpera mpera!....
8 Reactions
17 Replies
830 Views
Back
Top Bottom