Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa...
Kwenye Baraza la mawaziri la serikali ya MamaSamia2025 , basi hamna waziri aliyepiga kazi moja kwa moja kutatua kero za jamii kama alivyofanya waziri Dkt. Gwajima D .
Kuna wakati tulikuwa...
Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa...
Habiba umeniponza
Do not be deceived, bad company corrupts good behavior. 1 Corinthians 15:33
October 6th, 2012 Siku ya Jumamosi
Ilikuwa Jumamosi
Kabla sijahamia Kigamboni ninapoishi...
Wakuu,
Kuna mambo ambayo kabla ya kuoa/kuolewa huwa tunayafanya ambayo ni aibu na fedheha kusema mbele ya mkeo/mumeo ambapo madhara yake huwa ni eidha kuvunjika kwa ndoa au ugomvi usioisha.
Kwa...
Nliisoma kipindi flani hii style ya mapigo na mwendo nikapraktizi. Mtoto mmoja alikuwa mbishi hataki kuinama. Nikamwinamisha. Nikaanza mpiga pipe huku anatembea chumba kizima akiwa ameinama...
Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini?
CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama...
Baadhi ya ndugu na Wakwe wa wapenzi wetu ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika
Maisha ya mapenzi na ndoa ni swala la faragha kati mume na mke
Kawaida kwenye kuishi inatakiwa waishi wawili tu na watoto...
Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na...
Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi...
Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha?
Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande...
Wakuu,tupeane vesi za kujinasua katika wakati mgumu.
Hivi umewai kuchati na madem wawili kwa wakati mmoja,alafu ukakosea ukachanganya msg ya Dem A ukamtumia B.
Alafu msg yenyewe ikawa ngumungumu...
Wakuu, tumepanda basi kutoka Songea, tumeingia Makambako muda huu na basi linaishia hapa.
Kuna dada tumeshuka naye, anaenda Kyela huko.
Anazungumzia kuhusu kwenda kusimamisha magari ya private...
Mwanamke anaestahili matunzo ya mwanaume ni mke. Mke akiwa mama wa nyumbani hapa mwanaume anawajibika kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia, mke akiwa anafanya kazi/biashara siku...
Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na...
Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka...
nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto
awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli,
mimi na miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.