Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila Siku watu wanaanzisha na kuvunja mahusiano na wapenzi wao. Vipi mdau, mliachanaje na mpenzi wako?Hapa ni wale wa mtaani (michepuko) ambao huna malengo nao. Mimi nikipata papuchi najitoa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu wakuu rejea title hapo juu madhara yake utayaona baada ya muda mfupi kataza mkeo kuchezea izo gururu. Utekelezaji mwema MI zangu no Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
43 Replies
9K Views
HAPA PINDI ANAPORUDI NYUMBANI: 1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga waga wako chap sana. 2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuombwa msamaha Na mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati huu ambao unajiona wewe umekua na huwezi kumfanyia mumeo yale mambo yaliyokuwa yakimvutia kipindi alichokuwa anakunyapia, ujue ndivyo unavyozidi kutoa nafasi kwa wasichana wengine kumfanyia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanaume unatakiwa kujitambua na kujiheshimu bila kusahau kuutunza ujana wako kwa maneno yenye hekima na busara, kama wewe ni kijana na haujaoa na una miaka 25 kwenda juu basi jua wewe ni baba...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Mafanikio yalimbadilisha baba. Mahusiano Kati ya baba na mama yalianza kipindi ambacho baba alikuwa akihustle wakati Hana pesa Kwa Hiyo mama alimpenda baba Kwa Jinsi alivyo na alimsapoti Katika...
44 Reactions
120 Replies
12K Views
Huyu dada aliaga kwake kuwa ana safari ya kikazi mkoa flani lakini kiuhalisia ilikuwa ni Mkoa wa Kikanda wa DSM. Wilaya ya Kinondoni toka Wilaya yake nyingine. Huwa nasikia wamegawa mikoa ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wana jf, bila kupoteza muda twende direct kwa mada. Last week nilikuja humu kuomba ushauri na post iliyokuwa ikizungumzia mpenzi wangu kuniuliza kma "nina malengo naye"...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekuwa natembelea mara kwa mara maeneo yetu haya a.k.a sokoni. Mimi ni Mtu wa makamo..ila sasa kule nakutana na vibinti vya rika ambalo kama ningeonekana nao mtaani ni lawama na nitazodolewa...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Mjini ujanja ni kudamshi. Kuwa na nyonyo saa sita ili ukitupia kiblauzi kinatuna hata bila sindiria. Kosa kubwa wanawake wengi wanafanya ni kuwaruhusu waume ama wapenzi wao kuyanyonya ama...
3 Reactions
131 Replies
21K Views
Kwa pande zote mbili Mwanaume na Mwanamke...Unaonaje hii Kufunga ndoa na mtu unaemjua..ama kufunga ndoa na mtu usiemjua..ipi ina ladha sana[emoji123] najua ushanielewa.[emoji16] Sent using Jamii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 27, nipo dar, nina elimu ya chuo ngazi ya bachelor, natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo, awe muislam awe muaminifu awe na umri wa miaka 18-27 awe anaishi dar awe na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani Huu ni mwez wa pili,mwezi unaofuata baada ya January na mwez mmoja kutoka december had mwez huu,huu ndo ule mwez wenye valentine day ama siku ya wapendanao KUMBUKA TU KWAMBA VALENTINE DAY...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Kwa umri huu above 40 nimepitia mengi kwenye mapenzi. Hakika ukiwa na demu uliyemzidi pesa na elimu mambo huwa murua kabisa, kuanzia adabu na sex. Huwa wanakuwa na heshima, sex ni any time you...
18 Reactions
92 Replies
8K Views
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake. 01: Mfanye akukubali...
4 Reactions
124 Replies
149K Views
Kuna ile ya Gunia na zile nyingine,nitashukuru sana niko katika wakati mzito wa kukumbuka wapenzi wangu wa zamani pamoja na marafiki zangu waliotangulia Mbele ya haki. Hili ni ombi kwa wale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mapema leo mpenzi wang tumeonana kwaajili ya kujifurahisha kimwili(kufanya mapenzi) wakati tumeanza round ya pili kama kawaida yao unakuta awatulii wanaruka ruka nikawa napata shida kulengesha...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…