May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,119
Nimekuwa natembelea mara kwa mara maeneo yetu haya a.k.a sokoni.
Mimi ni Mtu wa makamo..ila sasa kule nakutana na vibinti vya rika ambalo kama ningeonekana nao mtaani ni lawama na nitazodolewa sana mpaka nikome.
Na nikiwa pale wao hawaishi vituko na vishawishi..maana kuna wakati kitakuja na kukukalia mapajani na kimini chake kilichomtaiti balaa ili mradi niingie kingi apate chochote.
Sasa Wadau vipi kama nikiamua kufunga macho, maana huwa nasita sita sana kwa umri wao ule, bado nitachuma dhambi?