ynnobygger
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 213
- 200
Jamani Huu ni mwez wa pili,mwezi unaofuata baada ya January na mwez mmoja kutoka december had mwez huu,huu ndo ule mwez wenye valentine day ama siku ya wapendanao KUMBUKA TU KWAMBA VALENTINE DAY NI SIKU 45 TU KUELEKEA SIKUKUU YA WAJINGA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
TAFAKARI CHUKUA HATUA.