Pay before bill

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,518
2,000
"pay before bill" ni tangazo nililolikuta chumbani kwa mdada mmoja wakati naenda kumtindua ghetoni kwake,

Hakika sikuongea nilichofanya ni kuzama mfukoni na kutoa mwekundu mmoja na kifaru kwa sababu ya kulipia huduma,

Mwanzo nilimuona mwema kila jumapili kumkuta na biblia mkononi akienda kanisani, nikajigeuza mtoto wa mchungaji ili kumpata kumbe ni muuzaji anaetembea na label chumbani kwake,


Niwapongeze wadada wa mjini kwa kujiongeza,

CC Zero IQ
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom