Moja ya mambo ambayo wazee wengi wa miji wameshindwa kujizuia ni hili swala la kuwatafuna mahouse girl. Mpaka sasa hivi nimeweza kwani mke wangu yupo masomoni nje ya mkoa niliopo na kwa muda mrefu nilikuwa nakaa na watoto wangu wanne ambao kwa bahati nzuri wawili wameshajiunga na chuo na wawili wapo boarding (sekondari) hivi ninavyosema nimebaki na dada wa nyumbani ambaye mwezi huu wa pili mwishoni atatimiza mika ishirini na moja. Kimsingi ni mtoto mwenye heshima na mrembo. Pamoja na uhitaji mkubwa wa kupata papuchi kwani mke wangu mpenda yupo masomoni ila kwa kiasi kikubwa nimeshinda hili jaribu la kukaa na dada (house girl) kwenye nyumba moja peke yetu bila kumbugudhi naamini kwa hili nastahili kupewa tuzo.