Ndugu zangu wana JF. Nawasalimia wote kwa mpigo.
Ni katika harakati zangu za tafiti za kisayansi. Leo nawaletea utafiti wangu niliouanza mwaka 2001 mpaka 2017.
Kwanza nimetumia scientific...
Writer: Unknown
My first love was a moonlight to chase darkness
She was a sweet orange to perish bitterness
My only golden happiness to execute sadness
She was only one to make me not hopeless
My...
Hello guys,
Nakumbuka tukiwa O-level mwishoni, kulikuwa kuna couple moja bomba kabisa ambayo kwa akili za kipindi kile kiukweli tulikuwa tunaitamani,
Maana ilikuwa na show-off inayobamba hasa...
Ukishafikia stage hiyo basi ujue hamna kitu hapo, mahusiano hayana afya muda wowote lolote laweza kutokea aidha kifo, kuwa zezeta au kuharibikiwa moja kwa moja
Habarini za muda huu wanajf,,
kuna kitu kinanitatiza sana hasa katka ulimwengu huu wa sasa ambapo tunaona hali inazidi kuwa mbaya tu kila kukicha,tunashuhudia ndoa nyingi zikivunjika wanawake...
# Repost. suzanbernardtz
Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye wakati tukisokotana ikifika muda wa yeye kumwagika alikuwa anapiga kelele sana hadi ilikuwa inabidi kumziba mdomo...
"Awesome God"
(originally by Rich Mullins)
When He rolls up His sleeves
He ain't just puttin' on the Ritz
(our God is an Awesome God)
There is thunder in His footsteps
And lightning in His fists...
Wadada wa siku hizi mnakera sana, yaani mnchakulia vitu kirahisi rahisi tu!
Mtu unakaa mwenge, nakutumia elfu hamsini ili uje getto Tabata tutazamane tu? Hiyo biashara ipo kweli Dunia hii?
Getto...
Vijana WEngi tunaingia kwenye mahusiano bila kujiuliza haya maswali yafuatayo,
1.kwanini naingia kwenye mahusiano,ni mkumbo,au wakati unaenda mbio(umri),au shinikizo toka kwa jamii(wenzio wameoa...
Mwanamke mmoja nchini Zimbabwe alipona kubakwa baada ya mbakaji kushindwa kumuingilia. Dada huyo alipewa lifti na jamaa mmoja mjini Bulawayo akiahidi kumfikisha mahali alipokuwa anaenda. Lakini...
Miaka hii ya karibuni vijana wengi tunaishia kuzalisha dada zetu na kukimbia, vijana wengi saiv hatutataki kusikia kuhusu ndoa kabisa.
Sasa uzi huu ni maalum kwa sisi mabachelor ambao hatujaoa...
Hello,
Kuna mdada fulani matata, vichuchu vidogo vzurii, kwa mbaal nyuma kumebinuka, rangi ya mitume, anaongea kwa umakini mno, akitembea harushi vumbi kama wadada wengine,yaani kifupi n mzuri...
--Hawawazi kodi kwani tayari kuna watu wanaojitolea kuwalipia,
--Hawana malingo ya kiboya kwao kila mwanaume ni fursa,
--Elimu/Ajira kwao sio kitu muhimu AKILI zao kubwa tu zinatosha kuendesha...
Habari za wakati huu wadau.
Wadau nina mwanangu wa pekee anaumri wa mwaka mmoja na miezi mi nne sasa ni wa kiume na ni mwenye afya nzuri na mchangamfu.
Tatizo mwanangu huyu hawezi ongea vizuri...
Kuishi na watu kunahitaji umahiri mkubwa mno kwani tabia zetu wanaadamu hazifanani kwa maana baadhi ya wakati unaweza kukusudia kumfanyia mwenza wako jambo zuri tu ila yeye akalichukulia kama...
Habari zenu wapendwa wa jf ,jina naitwa cirmick naishi morogoro, umri wangu ni miaka 30-40,elimu yangu ninashahada ya kwanza,dini mkristu,mzaliwa wa hapahapa Tanzania,kazi nimeajiriwa,
Mke...