Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari. Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo...
23 Reactions
132 Replies
6K Views
Guys hakuna kutiki oktoba. Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao. Bahati...
11 Reactions
174 Replies
6K Views
Katika pitapita zangu nlikutana na kabinti njiani, sikafahamu, wala hanifahamu, kamekomaa na kana sura mbaya, ila kilichonivutia kwake ni kuwa ana chura iliyochomoza, yenye shape nzuri, hlf ni...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu?
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Wakuu bila kuzingatia haka kautaratibu ladha ya kumbato inapotea kabisa, bila shaka huwa unakazingatia vyema:):)
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka juzi katika mtandao wa Twitter, nilibahatika kupata mrembo mzuri sana mweupe hivi kama shombeshombe, ilipita miezi miwili ndipo tukakutana maeneo ya msasani, sitaisahau hiyo siku...
28 Reactions
175 Replies
20K Views
. Ni nini maana yake? Hii ni tendo la Ndoa kwa wanandoa katikati ya mida ya saa 10 usiku mpaka saa Kumi na mbili asubuhi. . Ni muda ambapo mara nyingi mwanaume anapokuwa amelala mwili wake unakuwa...
17 Reactions
418 Replies
58K Views
Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Karibu wiki kadhaa sasa kutokana na vyuma kukaza Jijini hapa pamoja na pilikapilika za uchafuzi nchini. Niliamua kubadili mfumo wa maisha na kuishi maisha ya bei rahisi. Niliamua kuanza kutafuna...
3 Reactions
49 Replies
1K Views
Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990. Huyu kijana namfahamu sana na tumewahi kukutana nae mara tatu mara ya kwanza nilikutana nae nyumbani kwao na mara mbili...
18 Reactions
463 Replies
47K Views
Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo...
35 Reactions
155 Replies
34K Views
Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to...
10 Reactions
157 Replies
6K Views
Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake. Kiukweli inaumiza mno, Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae...
16 Reactions
248 Replies
9K Views
Mwezi wa nne nilikwemda Tanzania kwa likizo fupi. Kuna rafiki yangu mmoja wa siku nyingi anamiliki nyumba ya kulala wageni Akawa ananipa mkasa mzima ambavyo taa wanazoweka kwenye vyumba kwa...
8 Reactions
110 Replies
16K Views
Habari za leo wakuu. Leo tukiwa kibaruani kwetu kwa mhindi,sasa tukawa tunapiga story mbili tatu kupoteza muda tu ili masaa yaende tuondoke zetu kurudi home. Kuna jamaa yetu akatushirikisha...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nadhani sio mimi peke yangu huwa najiuliza hii kitu, yaani kwanini wanaume ndio kichwa cha mchezo haswa ikifikia katika suala zima la tendo la ndoa? Mwanamke atasubiri afanyiwe kila kitu yeye...
9 Reactions
98 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…