Katika pitapita zangu nlikutana na kabinti njiani, sikafahamu, wala hanifahamu, kamekomaa na kana sura mbaya, ila kilichonivutia kwake ni kuwa ana chura iliyochomoza, yenye shape nzuri, hlf ni kadogo dogo kimuonekano, kaliniambia kamemaliza form 4, sasa nlikapigisha sound kanipe namba ya simu coz alikuwa nayo anachat, akasema anaenda mahali kuchukua mzigo aliotumwa, hlf akiwa anarudi kwao atanipa namba.
Kwa vile mm si mgeni kwenye tasnia ya utongozaji, katika kupiga nae story kengele iligonga kichwani kwangu ikaniambia huyu binti huko atakoenda atanichoma Kwa watu..na kweli nimefika sehem alioenda, binti aliniambia nisubiri Kwa nje, nlisubiri nje ila nilijibana kifichoni kwenye kona, heeee alivotoka hakuniona nilisikia binti akisema "nilikuja na mtu hapa" nilitoka mbio kuliko usain bolt, nlivokua mita kadhaa mbele, ile kuangalia nyuma nikaona jimama linachungulia ile sehem nliokuepo,
Enyi wadada kama humtaki mtu, sema mapema, kuchomeana si ishu.