Wakuu
1. Mazoea uliyojenga nae ya muda mrefu yanadumaza adhma yenu ya kuoana,zinduka chukua hatua sasa.
2. Kama umemzalisha na bado yupo kwao huyo tayari kuna asilimia/uwezekano mkubwa wa...
🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH)
1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa)
Qur’an:
An-Nur 24:26 —
“Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume...
QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA
_
Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
Oyaa wakuu
Wazee sijui hawanielewi
Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama,
baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu.
Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa...
MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa
Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata...
1. ✈️ Simu kindege “flight mode” kila mkiwa pamoja.
Anaepuka mawasiliano ya “side guys" —bro, hiyo ni red flag ya kimataifa.
2. 📵 “Usinipost please”
Anaogopa kupostiwa kama vile mwanaharakati...
Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto...
Kuna uhusiano gani wa kisaikolojia kwa wanawake wenye elimu, wajuaji,wanaojiona wazuri,wenye mambo mengi au kujiona wajanja wa mjini,kuishia na wanaume dhaifu kwa maana wanaume ambao siku za nyuma...
Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli...
Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana
Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri...
Habarini,
Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive...
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.
Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye...
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.
Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna...
Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika.
Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na...
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako...
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo...
Ilikuwa friday kuna binti nikaona nimtongeze lengo likiwa nipate mtu wa kuongea naye siku hiyo just for funny siku iende.
Nilimkuta dukani ananunua mahitaji yake nami nikipata mahitaji yangu...
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe
Money Penny: haya nambie mwanangu
Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati...