Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Poleni kwa jf kufungiwa. Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume. Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari zenu GT. Nina mpenzi wangu wa kike amekuwa akichat na EX wake, hili jambo limenishtua kidogo na ni kitu sikipendi na namuonya Kila wakati, lakini anarudia.. Je kwenye mahusiano hii ni...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Buenas Domingo amigos! Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005 Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua...
18 Reactions
107 Replies
6K Views
Nimechoka Nawasili nipokeya sibadili yako niya tafadhali niridhiya yangu haii nimechoka Wangu moyo wanitanga kwa surayo kutoenga njoo mbiyo wa muanga mwendaniyo nimechoka. Nakwambiya la hakika...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa...
54 Reactions
323 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, poleni wote mlioondokewa na wapendwa wenu Iko hivi, katika harakati za kusaka mchumba nilijikuta katika hali ngumu ya maamuzi kati ya wachumba hawa wawili Wa kwanza nilisoma...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wapo wanafalsafa waliowahi kusema mtoto anapogundua yeye niwakike anaaza kujichukia , sitaki kuunga mkono sana madai yake lakini nikama yana mwelekeo wa ukweli. Ninaamini kama ungekusanya...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo...
7 Reactions
18 Replies
939 Views
Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
2 Reactions
18 Replies
714 Views
Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Huenda tumewaona wengi wao kama mashujaa, vijana wa kisasa au hata dada zetu wanaokwenda na wakati, kumbe ni wagonjwa wa akili. Unasikiliza taarifa ya habari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzuka wana j.f Miaka 2 iliyopita nilianza mahusiano na dada ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, ilikuwa kama utani lakini nilijikuta nampenda. Mke wangu naye ni mfanyakazi, tunaenda kazini...
10 Reactions
65 Replies
7K Views
Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
6 Reactions
15 Replies
582 Views
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo...
4 Reactions
14 Replies
853 Views
Wakuu Kwa mujibu wa Smart911 yeye anasema mapenzi huwa hayana mwongozo,ni kweli lakini haya mapenzi yangu huenda yana mwongozo kabisa. Nilioa miezi mitatu iliyopita,ila kama wiki mbili zilizopita...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ciao, Zamani nilikua nachukulia kawaida ila kwa sasa naona kama lishakua tatizo kubwa ambalo sijui namna ya kulitatua. Kuna muda nakua na stress sana ila nakosa mtu wa kushare nae mambo yangu...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wanajr Nilikuwa na mahusiano na huyu manzi almost miaka 3. Sasa huyu demu alikuja kunitamkia kuwa niachane naye, hataki kuendelea na mahusiano na mimi, na akanitajia sababu zilizomfanya...
8 Reactions
120 Replies
4K Views
Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu. Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika. Nimepanga geto nalipa kodi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…