Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heri ya mwakampya wanaJF kama kawaida, mwaka mpya na mambo mapya nahitaji mwanamke aliyejitunza vema na bikra yake nije niibikiri na kumuoa kabisa umri ni kuanzia miaka 23 mpaka 26 Dini yoyote...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi. Kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani...
7 Reactions
109 Replies
10K Views
Mazingira ya kipindi cha Adam na Hawa na kipindi hiki, ni yapi yalikuwa na mvuto na ni kwa nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona sehemu UKUMBUSHO Amekuomba urafiki facebook. Umeangalia picha zake Anaendesha Range Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo Umemkubalia urafiki Amekutumia text inbox Umemjibu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna memba mmoja humu alishawahi post uzi, akisema mwanamke sio ndugu yako ndugu yako ni watoto wako naanza kumuelewa Katika pita pita za instagram nimekuta video huyo mwanadada anayeitwa wastara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uki achana na mwanamke ane penda pesa ni sawa na kumaliza mtiani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI 1:Unalala vizuri 2:Hujali unavyoonekana 3:Hakuna sms usiku wa manane 4:Unaweza kuongea na yeyote 5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na mtu 6:Utaepukana...
9 Reactions
65 Replies
14K Views
Huwa nafurahi sana pale nikiwaona wapo karibu kwani siyo Siri kwa Utanashati wa Freeman Mbowe na Urembo wa Halima Mdee huwa wanapendezana mno kiasi kwqmba natamani Siku moja nije kusikia ama wana...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Sio viben ten au wavulana no ni wanamume/Men tafiti zi naonyesha kuwa huvutiwa sana na wanawake wenye tabia za kiumalaya malaya. Being beautify with brain , having nice body and other nasty...
5 Reactions
72 Replies
12K Views
Hello guys, Kwamba ukifika umri flani baada ya kubalehe lazima uwe na demu, kwasababu ukitoa swala la kugegeda mimi sioni kama kuna jambo lingine ambalo wanaume twafaidika nalo zaidi ya kujiletea...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Ni braza meni mmoja matata sana ana minato ya kimamtoni uswazi flani hivi.anashinda sana insta na facebook na mapicha picha kibao ya maeneo makali. Anachofanya. Anatengeneza urafiki na mdada...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Hongera sana mwanamke kwa sifa ya uvumilivu, Ni sifa ya kipekee sana, mnavumilia vitu vingi sana kwetu sisi wanaume, Unakuta jitu ni livutaji la sigara, akitoa hii anaweka nyingine, ratiba yake...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana...
26 Reactions
175 Replies
21K Views
kama kawaida yangu mama lao mnanijuaa sinaga kazi mbovu leo nataka kuwaibiaa siri wengi wenu msio ijuaa Ni hivi since most of waliwaji ni marafiki zangu i mean ma (gasho)na sisi watoto wa mjini...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Huu ni mwaka wa 4 namfukuru mungu lakin Leo nimekaa chini kuona hatma ya maisha yangu kuhusiana na dhambi nilizozitenda hakika mm sio wa kuigwa na jamii yoyote ile . MCHEZO ULIPOANZIA nakumbuka...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
nawatakia wakati mwema. zamani kidogo niliwahi kuwa na mahusiano rasmi na binti mmoja kwa muda wa miaka minne. alikuwa mwanamke wangu wa kwanza toka kwenye mahusiano. tuliishi kwa ugumu...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Kutokana na lifestyle yangu imeniwia vigumu sana kuna na marafiki hasa sipendi marafiki mizigo 1:huwa nipo serious sana kiasi kwamba ni ngumu mtu kunizoea kirahisi hasa mtu mgeni 2:Mimi sio...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu habari za kushinda Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge. Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala...
12 Reactions
165 Replies
20K Views
Naombeni munipe hatua za kumtoa mwanamke bikra je inakuwaje na anajisikiaje Karibuni "Tanzania ya Viwanda inaanza kwako"
1 Reactions
137 Replies
48K Views
Kuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo Arusha mimi nipo Dar. Sasa nikimcheki aje Dar anadai mimi niende Arusha ila naona akija Dar ndio nakuwa confortable kwani...
1 Reactions
95 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…