Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Nakumbuka wakati niko form 2 ndiyo nilivyoanza kuwaka hizi tamaa za wanawake basi kuna kabinti tulisoma nako shule ya msingi nikawa nimekazidi darasa moja, inamaana yeye alikuwa form one na kila...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Habari zenu vijana wapambanaji. Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi. Mambo haya pengine...
21 Reactions
109 Replies
8K Views
Hii ni stori ndefu sana kipindi hicho nilikuwa naishi Mwanza nikifanya biashara ya mavazi nikinunua Dar kwenda kuuza Mwanza,na mdogo wangu wa kike alikuwa anasoma UDSM,mda mwingi nilikuwa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Nina miadi na mke wa mtu leo (date) ila sijui namna ya kuhandle situation. Wajuzi nisaidieni.
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari zenu! Kuna hofu inazidi kutanda dhidi ya wanaume wengi kuhofia maumbile yao ya uume. UKWELI NI KWAMBA.. Maumbile ya uume yapo sawa ondoa hiyo hofu. Yapo sawa kivipi...? maumbile ya...
12 Reactions
156 Replies
9K Views
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kabisa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana...
13 Reactions
71 Replies
9K Views
Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu .. Sasa nilivokuja...
15 Reactions
63 Replies
2K Views
Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu, Mganga wa jadi kazi yake kuponya magonjwa kwa kutumia dawa za mitishamba, hapo dhambi yatoka wapi? Dhambi ni pale mtu huyo anatumia mitishamba hiyo kuua au kufifisha mipango ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa...
9 Reactions
86 Replies
4K Views
HATA USIKU UKITOA HARUFU NJEMA MKEO ANA PROUD IMETOKEA CHAKULA CHAKE UNARUDI SAANANE UNAJA...MKE ANAHAMIA KWA WATOTO ALAFU UNAKUJA KANSANI USAIDIWE HAPANA HAIPO HIOO KULA NYUMBAN TUMWELEKEZE MKE...
3 Reactions
10 Replies
174 Views
Nipo kwenye mahusiano na huyu Dada kwa mwaka mmoja na nusu sasa. Hatuishi pamoja lakini muda mwingi nipo kwake, ananihudumia kwa kila kitu. Mimi nafanya kazi lakini kipato changu ni kidogo sana...
8 Reactions
72 Replies
3K Views
Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
7 Reactions
102 Replies
4K Views
Habari wakuu Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa...
21 Reactions
328 Replies
8K Views
Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana...
3 Reactions
11 Replies
601 Views
Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka...
9 Reactions
33 Replies
704 Views
Hili swali nakuuliza wewe ambae bado hujafika umri wa kuozesha binti/kijana wako, je umejiandaa kuwa Baba/mama mkwe wa aina gani Je ni kitu gani sasa hivi unakifanya ila ukifikia hatua ya kuwa...
7 Reactions
32 Replies
445 Views
Wasalaaaaam! Ndugu zangu leo nimeona nianzishe huu uzi hapa ili pawe kama Centre maalumu ya kupumulia na kupata ushauri kwenye masuala ya mahusiano, ndoa na hata urafiki baina ya wanaume na...
2 Reactions
108 Replies
10K Views
Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…