Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

‎Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
5 Reactions
57 Replies
655 Views
Ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita tangu niwajue mabinti wengi waliorubuniwa kirahisi na hii combination huku wengine wakijazwa mimba, kukatisha masomo na wachache waliobahatika wakiolewa...
8 Reactions
36 Replies
593 Views
Habari wakuu Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa Sifa zangu Miaka 33 Kabila mchaga Dini Mkristo Sina mtoto Naishi Dsm Kazi Biashara SIfa za mwanaume Miaka 35 -45 Dini Mkristo...
34 Reactions
246 Replies
10K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo, Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Na yeyote mwenye mke, na yeyeto anayetarajia Kuwa na Mke(Kuoa). Mambo haya ni yafaragha, nafahamu wapo maelfu ya...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Kufanya stori iwe fupi Huyu nitampa jina la Mfp, mumewe alifanya kazi benk flan sitaitaja, mrembo cheusi flan, kakikuwa na matatizo ya kiafya kakaomba light work na mambo kadhaa. Ni mara kwanza...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Ndoa ngumu sana Kwa mtu mwenye akili timamu
22 Reactions
88 Replies
4K Views
  • Redirect
Kwenye hizi biashara zenu mlizowaamini wake zenu wasimamie kuna mengi tunayaona. Mkeo atakuwa anafikika kiurahisi,imagine jamaa unamkuta anaongea na mkeo wanacheka,wewe ukifika tu wote...
1 Reactions
– Replies
– Views
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa...
12 Reactions
80 Replies
2K Views
Wakuu, mulibwanji. Nasimama na Wakoritho 13:10. Kabla sijampeleka mke wangu mapumzikoni huko kwao, kuna tukio moja ambalo huwa linanitafakarisha sana. Hapa nyumbani kwangu kuna vijana wawili wa...
10 Reactions
33 Replies
543 Views
Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara...
2 Reactions
10 Replies
447 Views
Ni kijana aliezaliwa mwaka 1984 jijini Tokyo nchini JAPAN. Ni kijana anayeshikiria rekodi ya DUNIA ya Binadamu pekee mwenye uwezo wa kupiga punyeto MDA mrefu zaidi kabla ya kufika mshindo...
16 Reactions
167 Replies
15K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Kigoma tangu 2020, tulikutana chuo, na penzi likakolea haswaa! Kipindi cha Covid penzi lilinoga zaidi kwani "Working from home" ilifanya muda wote...
214 Reactions
743 Replies
58K Views
Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Unapokua na kuwa Baba unaanza kuona picha tofauti. Hapa ndo unaanza kuona kuna kitu kinaitwa Afya ya Akili . Unapowatazama watoto wako Unapoiwaza kesho ya watoto wako. Uku ukidaiwa bills ...
11 Reactions
11 Replies
629 Views
Huwa na mazoea ya kwenda bar flani kugida sasa Kuna mdada huwa ananihudumia Leo kaja kukaa karibu yangu ananihudumia vizuri kama kawaida maswali yakaanza sasa Kwanini unakunywa beer ? Nikamjibu...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Kumuokoa mwanaume, mpe michongo.. Kumuokoa mwanamke, mpe mwanaume..
5 Reactions
10 Replies
331 Views
MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, Mara nyingi tunasherehekea "ujauzito" na "kujifungua," lakini tunasahau kuwa kuitwa mzazi ni mkataba wa maisha yote ambao hauna likizo. Uzazi bora hauanzi wodini...
4 Reactions
8 Replies
425 Views
Back
Top Bottom