Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi katika masuala yanayowapa wakati mgumu vijana katika kuchagua wenza wao. Ni pamoja na suala la kiwango cha elimu walichonayo. Wasichana wengine huwakataa wavulana kwa kigezo cha elimu...
5 Reactions
128 Replies
10K Views
Nguvu ya mwanaume siku zote ni uchumi/kipato. Kipato kinapokuwa chini hata nguvu pia ya kusimamia familia pamoja na mkewe hushuka. Inapotokea mkewe au mpenzie kumzidi kipato au cheo, hapo pia...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Yaani kwa kifupi sisi wanawake tumejaliwa kupenda kwa dhati, wanaume ndio wanasababisha mwanamke awe msaliti, Wewe kama una mpenzi/ mke/ mchumba/f anya yafuatayo, kwanza kabisa - Mpende mwanamke...
25 Reactions
148 Replies
15K Views
Love has different meanings, we all have our own definition and we do not choose who to love , they only choice we have is how to love, we were often taught that love has to be between those with...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello JF users. Kuna kipindi inabidi uoneshe hisia zako kwa mtu unayempenda ili aweze kutambua ni jinsi gani unavyompenda.Lakini itakubidi ufiche baadhi ya hisia zako kwa MTU unayempenda mpaka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Yani sijui michepuko itakuja kuisha lini. Hata wanaochepuka wananishangaza sababu za wao kufanya hivyo. Kibaya zaidi Unachepuka na mwanamke ambaye hata mke wako anamzidi kiwango mbali Sana. Hata...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Tupo kwenye mwendokasi tunatoka magomeni kuelekea k/koo gerezani. Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu...
47 Reactions
197 Replies
14K Views
Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili: 1. Understanding 2. Non-Understanding Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao: - Open minded, huwa wako real to themselves and their...
61 Reactions
391 Replies
27K Views
Almost every one of us have one common goal in life - to achieve real happiness. The greatest factor holding us back from reaching our dreams is, sadly, ourselves. Stop making life more...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna wanaume ambao wametokea kuoa wanawake ambao wana tabia mbaya . ninaposema kuwa na tabia mbaya sina maana ya mwanamke kuwa Malaya, maana hiyo ni fasili rahisi ya tabia mbaya kwa watu walio...
12 Reactions
90 Replies
25K Views
Habari jukwaa pendwa, story iko hivi ni kwamba nilikuwa nikiapa sitokuja kula mke wa mtu hata iweje lakini kwangu imekuwa tofauti sasa , nakumbuka kipindi ambocho nilikuwa nasoma niliwahi kupendwa...
12 Reactions
93 Replies
8K Views
Ukitaka uwe na nguvu ya kiuchumi, oa mwanamke bahili, na uwe unampatia fedha zako akutunzie. Yeye atazilinda fedha zako na atahakikisha yale mambo yote muhimu, kama kujenga nyumba / majengo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naamini kila mtu ni mzima wa afya,kama kichwa kinavosema hivi watu wanaokuzunguka huwa wanakuonaje mpaka wanakwambia jamaa huna hisia nakumbuka hali hii imenikuta sana level ya sekondari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bus driver asked if anybody willing to offer seat for the pregnant woman, nothing happened until.......[emoji33]
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wenza hawa walioana mwaka 1941, kwa ndo aya siri baada ya familia zao kutoidhinisha mahusiano yao. Bwana ana miaka 110 na bibi miaka 104. Ndoa yao, iliyoanza kwa siri imedumu kwa miaka 79 na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Hapa nilipo nipo Gest maeneo flani na demu mmoja ivi nimewahi kumsukuma mala moja, nimemvua nguo na kumchezea kiasi kwamba tundu la triga limelowa,ajabu ni kwamba nimemlaza kitandani chali ila...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Salaam wakuu? Kuingia kwa utamaduni wa Wazungu wa wanawake kuvaa Suruali na kutembea hadharani lilikua ni kosa kubwa sana litakalo endelea kutugharimu miaka kwa miaka. Wanawake wengi wakizungu...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…