Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Tufanye kuteta kiume (hata wakija hatujali). Siku hizi asilimia kubwa ya wanawake hawajali kuhusu uwezo wako wa kifedha, u-handsome, au misuli tuliyo nayo...bali saizi ya mashine tu...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
Mnamkumbuka yule jamaa aliyeuwa mkewe kule kigamboni kwa kumchoma moto, basi yule jamaa alifanya kosa lakini ukisoma kisa changu utatamani yule jamaa apewe kosa la kuuwa bila kukusudia au aachiwe...
26 Reactions
124 Replies
18K Views
Sijui nifanyeje wapedwa ninampenda sana mpenzi wangu lakini mwenzangu haoneshi kunipenda kama ninavyompenda mimi najiona sipedwi Naombeni msaada wenu nifanye nini nipunguze kumpenda mtu...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Leo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache. Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Salam enyi watanzania wenzangu. Mungu kanituma niwaeleze haya mambo mazuri kwa ajili ya kudumisha mahusiano yetu, hasa mke na mume au wachumba nk. Kwanza kabisa, wanawake wana akili sana katika...
5 Reactions
28 Replies
9K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote 2. Asiwe mwajiriwa au awe...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mm ni mwanaume 32-36 yrs Mwajiriwa sekta binafsi. Elimu shahada ya uzamili Mkazi wa Dar natafuta binti wakuliwazana naye kimapenzi, mengine tutakubaliana kadri ya siku zinavyoenda. Sifa za binti...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina biashara ya kufanya na mdada yeyote mwenye utambuzi wa biashara aliyepo Mwanza. Kigezo ajue kupika vizuri coz biashara ni ya restaurant. Karibu PM
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi All, Jamani honestly nina stress acha tu. Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi. Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo...
52 Reactions
596 Replies
81K Views
Hellow brethren JF member. Naamini mpo salama mkiendelea kufuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa marekank pamoja na maandalizi ya kumuapisha Rais wetu mteule, Dr. JPM hapo kesho. Niende moja kwa moja...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Parents be very careful with your children indent know how you are going to do it but I finished form 6 bootcamp last week. Yaani teens parties nowadays cake zinapikwa na maji ya bangi, wengine...
21 Reactions
135 Replies
15K Views
Hamna mahali popote pameandikwa mwanamke utakae zaa nae ndio unatakiwa umuoe awe mke waako wa ndoa"hakuna". Ila pia hakuna mahali pameandikwa kwamba mwanamke utakae mzalisha usimpende wala usimpe...
50 Reactions
226 Replies
21K Views
Habari wana jf mm niko na mpenz wang tunaelekea kumaliza mwaka sasa katika mahusiano yetu mwanzo tulipendana sana tena sana lakin kwa sasa huyu mwenzangu kabadilika yup busy hakutafuta mpaka...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
This video of a 44 year old woman explaining in a 13 minutes long video that she does not want to date men who are her age, because she is too beautiful for that. This woman says that her...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini wadau wa humu, Mwenzenu nina shida na ninakuja kwenu nikiwa na matumaini ya kupata ushauri mzuri na unaojenga. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 28. Nina mpenzi ambaye tuko mbioni...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu wanajf wote mko vizuri we thank God for that . Moja kwa moja Kama kichwa kinavyojieleza, Hawa viumbe nimeamua kuachana nao rasmi , make nimeona siwezi kuendelea kuumiza kichwa...
19 Reactions
81 Replies
7K Views
Habarini wana jf ni tumaini langu kuwa nyote mu wazima wa afya kabisa. Leo ningependa tutoe salaam za kumbukizi kwa ndugu,marafiki,wazazi,walezi na wengineo tuliowahi kukutana nao maishani...
0 Reactions
5 Replies
778 Views
Nilienda pub moja ya London wafanyakaz wakizamani sana. Kwanza kutamani na kumzengea mume wangu Alienda shost angu nae hivyo hivyo nyodonyodo Tupi Masaki au kuke wanapoita kwa watu flan staki...
1 Reactions
39 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…