Habarini ndugu zangu.
Leo nimeamua kuja na hoja kama title yenyewe inavyoonesha.
Nimekuwa nikiishi na vijana wengi sana ambao umri wao hauzid miaka 28.
Lakini cha kushangaza kuna wamama ambao...
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua asilimia kubwa ya ndoa zinazodumu ni zile ambazo kijana ametaftiwa mke na wazazi wake na yye akaridhia hilo
Kijana wa leo haoni kuvunja ndoa kama ni...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.
Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.
Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Habari wakuu!
Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na mrembo wa chuo cha NIT mwaka wa pili, haka kabinti kana weusi wa kuteleza, macho makubwa kiasi na nyusi nyingi, kiasili ni Mhaya...
Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri.
Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa...
British woman facing jail after allegedly having sex on Dubai beach
Rosalind Ryan and agencies guardian.co.uk,
Wednesday July 9, 2008
A British woman could be jailed for up to six years...
Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu wa hali na mali kabla ya kuingia kwenye hii singeli (ndoa), mwanamke niliye naye ni ana umri mkubwa kidogo kuliko mimi, na nipo mbioni kutangaza ndoa.
Noamba...
Habari, naomba niwaletee simulizi ya kitabu chenye Mafunzo mazuri sana. Ni cha kiingereza kinachoitwa “Things I wish i’ known before we got Married, limeandikwa na Gary Chapman. Nimefanya tafsiri...
Kwanini uliamua kuachana na mshikaji/rafiki/swahiba/shost ako baada ya urafiki wenu
Kwaninu uliamua kuachana na huyo msela wako au huyo mshikaji wako au huyo rafiki au huyo shoga yako au huyo...
Huu utafiti nimeufanya nimeamini Ni kweli kabisa yaani week yote hii niliamua kuokoa nikawa naomba Sana MUNGU Ila jamani naelekea kushindwa leo nimetamani mabinti wawili na nikajikuta naongea nao...
Linapokuja swala la kuachwa au mtu wa kukuacha kuna staili mbili
1. Kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki
Watu wa aina hii yeye anakuoneshea vitendo visa vitakavyo kufanya wewe...
Kwanza kabisa niseme tu hii dawa haina majini wala mapepo kama wengi wanavyofikiria, Hizi dawa sikuhizi waweza kuta hakuna anaezijua zaidi ya watoto wa machifu milimani.
Ni dawa ya kiasili...
Asalaaaam wakuu. Naomba kuwashirikisha hili kama ilishakutokea au uliwahi kusikia n.k.
Sihitaji kuzama sana kitaaluma lakini hili jambo laweza kuwa geni au uliwahi kujua ama lah but ni issue...
Na Sandra Bernard
[emoji175]UKIWA NA MAMBO HAYA MUMEO ATAKUPENDA SANAA[emoji175]
Ni sifa 7 ambazo mwanamke
anatakiwa kujipamba nazo ili azidi
kumteka mwanaume, hasa mume
anayejitambua... Ni...
Friendship is a relationship of mutual affection between people. It is a stronger form of interpersonal bond than an association, and has been studied in various academic fields such as...
I'm ready to begin to offer suggestion to my kindred ladies now since I sense like greatest young ladies get into relationships and afterward they experience like they have committed the most...
MEN SHOULD PREPARE THEMSELVES TO HANDLE WOMEN WHO ARE OVER 40
When some Women turn 40 or 50 years, something major shifts in their personality.
They become bolder, more rebellious, more...
Habari za majukumu members, ngoja nielekee moja kwa moja kwenye kisa husika. Nimepanga chumba hapa moro, vyumba viwili vinavyofuata baada ya chumba changu ni vya mshikaji wangu ambaye ni mtoto wa...
Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na
alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni...