Kuachwa kimya kimya na kuachwa kwa kutamkiwa kupi kunaumiza zaidi?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Linapokuja swala la kuachwa au mtu wa kukuacha kuna staili mbili

1. Kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki

Watu wa aina hii yeye anakuoneshea vitendo visa vitakavyo kufanya wewe ugundue huyu mtu hanitaki tena nijiongeze

2. Kuna mwingine anakuacha kwa maneno

Watu wa aina hii yeye anakutamkia live hakutaki hahitaji kuwa na wewe kila mtu Achukue hamsini zake

Mimi upande wangu kuachwa kimya kimya ndo naumia zaidi kwani hujui kama unapendwa au laa unajikuta upo ndani uhusiano karibu miaka 3 kumbe mwenzio alishakuacha miaka 3 iliopita
 
1.kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki

2.kuna mwingine anakuacha kwa maneno

Ukiwa na akili timamu , vitendo tu vinaweza kuashiria kuonyesha kuwa yajayo huko mbele yatakuumiza ni muda wa kuanza kujiandaa na sio kumgangania ... Kumgangania haisaidiii kwa lolote lile , jipange jipige lifua endelea hata usiogope
 
Mimi upande wangu niliachwa taratibu nakuja kustuka time is too late moyo wangu yaani

Step ya kwanza nilishangaa tuu kuona mpenzi wangu amekuwa mkali ghafla kwangu nikawa navumilia sikuchulia manani

Step ya pili nilianza kuona jambo dogo tunagombana au kidogo ugomvi.

Step ya tatu nilianza kushanga anabadilika tabia ukimuuliza tatizo nini ananiambia kuna kitu hakipo sawa akiwa fresh ataniambia

Step ya nne nilishangaa kila siku nimekuwa mtu wa kukusolewa yaani unashanga anakukosoa jinsi ulivyo kitabia na mwonekano basi nikawa mtu wa kuomba samahani na kubembeleza

Step ya tano alianza kunikalia kimya hanitafuti mawasiliano yakawa hafifu

Step ya Sita mkiwa ktk maongezi kila unachokiongea wewe hakitiliii manani hata ukiongea nae anaona unamchosha

Step ya saba kitu kidogo mkipishana anakimbilia kusema tuachane

Step ya nane Akawa ananiponda tuu kupitia madhaifu yangu akawa ananiona mie kama kituko au kichefufu

Ilivyofikia hio hatua nikagundua huyu haniitaji tena nilichokifanya niliamua kumove on kimya kimya ila nashukuru tuliachana kwa amani
 
3. Kuna wale wana kupush kimya kimya hadi utamke humtaki.. hii wanatumia sana wanaume kwa sababu wanawake kutamka basi tuachane ni rahisi sana japo hutumia hii kauli wakidhani mwanaume atababaika kuachana kuna kuna mwanaume alikua anasubiri hiyo kauli akuache.
Linapokuja swala la kuachwa au mtu wa kukuacha kuna staili mbili

1.kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki

Watu wa aina hii yeye anakuoneshea vitendo visa vitakavyo kufanya wewe ugundue huyu mtu hanitaki tena nijiongeze

2.kuna mwingine anakuacha kwa maneno

Watu wa aina hii yeye anakutamkia live hakutaki hahitaji kuwa na wewe kila mtu Achukue hamsini zake

Mimi upande wangu kuachwa kimya kimya ndo naumia zaidi kwani hujui kama unapendwa au laa unajikuta upo ndani uhusiano karibu miaka 3 kumbe mwenzio alishakuacha miaka 3 iliopita
 
3. Kuna wale wana kupush kimya kimya hadi utamke humtaki.. hii wanatumia sana wanaume kwa sababu wanawake kutamka basi tuachane ni rahisi sana japo hutumia hii kauli wakidhani mwanaume atababaika kuachana kuna kuna mwanaume alikua anasubiri hiyo kauli akuache.

Hiyo ipo sana unakuta mtu alishakuacha mda ila hataki kukuweka wazi ili yeye asiwe sababu ya kuachana kwenu kwahiyo anangoja ile point mwenzie atakapoitoa hiyo sababu ili aonekane yeye hakuamua iwe hivyo. Inakera mtu hakupendi, hakuhitaji tena lakini bado anakung’ang’ania haachi mawasiliano nawewe sijui target huwa ni nini? Kwa sababu haiwezekani umpendi/umhitaji mtu lakini bado iwe ngumu kwako kuacha mawasiliano nae, ni nini hasa huwa kinalengwa kwenye kuendeleza mawasiliano?
 
Hiii imenikuta mimi nasema hivii nilipogundua

Hapa sina changu tena niliamua kukaa kimya yaani kukaa kimya ilivyopita week moja nae yupo kimya nilibadili namba zangu zote za simu ila

Baada ya miezi mitatu nilishangaa Ex wangu sijui kaitoa namba yangu alinipigia akaniambia naomba tuonane nahitaji tuongee basi mtu mzima bila kujitafakari si nikaenda doh sikuamini kumbe ndo nilikuwa nakuja kupigwa kibuti rasmii
 
SO LONG AS MLIANZANA KIMYA KIMYA MNAWEZA ACHANA KIMYAKIMYA, KINYUME NA HAPO SIO UUNGWANA NA NI HATARI KWA AFYA YA UBONGO
 
Hiii imenikuta mimi nasema hivii nilipogundua

Hapa sina changu tena niliamua kukaa kimya yaani kukaa kimya ilivyopita week moja nae yupo kimya nilibadili namba zangu zote za simu ila

Baada ya miezi mitatu nilishangaa Ex wangu sijui kaitoa namba yangu alinipigia akaniambia naomba tuonane nahitaji tuongee basi mtu mzima bila kujitafakari si nikaenda doh sikuamini kumbe ndo nilikuwa nakuja kupigwa kibuti rasmii

Me ikishapita wiki tu basi nachange configuration settings za moyo na hapo ata anitafute sina mda nae nampotezea nikiona usumbufu natia block jumla.
 
Linapokuja swala la kuachwa au mtu wa kukuacha kuna staili mbili

1. Kuna mtu anakuacha kimya kimya bila kukwambia sikutaki

Watu wa aina hii yeye anakuoneshea vitendo visa vitakavyo kufanya wewe ugundue huyu mtu hanitaki tena nijiongeze

2. Kuna mwingine anakuacha kwa maneno

Watu wa aina hii yeye anakutamkia live hakutaki hahitaji kuwa na wewe kila mtu Achukue hamsini zake

Mimi upande wangu kuachwa kimya kimya ndo naumia zaidi kwani hujui kama unapendwa au laa unajikuta upo ndani uhusiano karibu miaka 3 kumbe mwenzio alishakuacha miaka 3 iliopita
Maumivu yanategemea na mhusika mwenyewe, kuna wengine tushapata break up nyingi kiasi kwamba hata tukiachwa hatuumiagi tena 😂😂😂
 
Back
Top Bottom