Dawa ya mapenzi ambayo wahenga waliitumia

Dawa ya mapenzi ambayo wahenga waliitumia

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
678
Kwanza kabisa niseme tu hii dawa haina majini wala mapepo kama wengi wanavyofikiria, Hizi dawa sikuhizi waweza kuta hakuna anaezijua zaidi ya watoto wa machifu milimani.

Ni dawa ya kiasili kama ilivyo ndulele inayotoa funza kwenye kidole.

Cha kufanya ni rahisi sana, Chukua mfupa wa tausi, Huo mfupa ufungishe na dhahabu( hata kiduchu) na kisha vaa ama funga kwenye mkono wako wa kulia, Waweza funga huo mfupa na dhahabu na kisha ukaviweka ndani ya bangili kwa ustadi, Kwa kufanya hivyo utatengeneza natural force ya kupendwa na watu wote ikiwemo wanawake ambao hawatakusumbua kwenye swala la mapenzi.

Ushahidi upo, Nilikuwa rafiki yake mkubwa marehemu mzee fulani aliyekuwa mlinzi, Katika urafiki wetu wa kupiga nae stori akaniambia yeye kwao alikuwa mmoja wa watoto wa chifu na kama ilivyo utamaduni wale watoto wa machifu hufunzwa vitu vingi sana vya kiasili ikiwemo hizi dawa, Nilimbishia kwa kusema ni muongo kwenye ishu ya dawa ya mapenzi na kesho yake aliniletea mfupa wa tausi na mimi ndiye nikahangaika kuazima hereni pure dhahabu na nikaifunga kwenye huo mfupa, Sikuitumia mimi bali nlimpa rafiki yangu ambaye ana aibi fulani hivi kwa wanawake, Nakumbuka jamaa ile ile siku tunavyopiga nae mizunguko mtaani aliwa fuata takribani wadada wanne na wote walionyesha kumpenda ambapo kesho yake kwa ushamba wa wanawake alishiriki na moja wao katika kujamiana asubuhi na mwengine wa pili walijamiana mchana, Aliing'ang'ania sana ile dawa so ikabidi nimpeleke kwa yule babu na akamlipa elfu 20 kwa ule mfupa na yeye akaenda kwa sonara kununua kiji dgahabu chake, Kwa sasa nashukuru Mungu ushamba wake wa kujamiana umepungua na kizuri zaidi miezi mitatu iliopita alipima na hajaathirika na nimemshauri sana azingatie kinga .

Tausi wamepukutika kabisa siku hizi huko mbugani, Wote wamekwisha kwa sababu huyu ndege alikua akitumika sana kwenye kutengeneza dawa nyingi sana ikiwemo hii ya kumpa mtu mvuto wa kimapenzi.

Poleni ambao nimewakera ambao walikuwa hawataki hii siri ijulikane.
 
Weka picha za hao WAHENGA kwanza

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] wanaume mna kazi ... Haya ungeni tela kongo mkatafute tausi
 
mtoa mada utasababisha tausi wapotee kwenye uso wa dunia
 
Vi wonder

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kusababisha watu waanze kuvizia tausi wa ikulu halafu yawakute mabalaa
 
Daah!kama vile naiona mbuga ya serengeti na zingine zikipukutika kwa ndege hawa...maana wabongo kwa kupenda papuch ni noma
 
Bora uwape njia yakutafuta pesa itawasaidia sana ukiwa na hela ni Natural force yakutosha sanaaa manake pesa haina mpinzani hata uwe na sura mbaya utapendwa,uwe kilema utapendwa....hayo mengine mbwembwe tuu,mwanamme mzima upendwe na watu wote umekua Pesa?
 
tausi wapo magogoni tu hapa Tanzania
 
Bora uwape njia yakutafuta pesa itawasaidia sana ukiwa na hela ni Natural force yakutosha sanaaa manake pesa haina mpinzani hata uwe na sura mbaya utapendwa,uwe kilema utapendwa....hayo mengine mbwembwe tuu,mwanamme mzima upendwe na watu wote umekua Pesa?
Hapo inapendwa pesa sio mtu
 
Mbona kama umesahau kwamba una vipande vya mifupa ya tausi na ni michache.
 
Usisahau na kuwapa mbinu za kupata dawa ya UKIMWI

Send from Buja
 
Wale wa pale maeneo ya IFM vipi hawafai au ni lazima upate Tausi wa porini...?
 
[emoji23] wanaume mna kazi ... Haya ungeni tela kongo mkatafute tausi
Baby tabu zoote hizi ni nyie tu sijui mlitupaga nini???!! tunaomba mtuhurumie!! hata wewe hapa naogopa kusema ya moyoni!!! na mlivo wa kakasi utanambia nisiseme kabisaa!!! km uongo tamka ''sema usiogope!! yaani naweza sema lkn...
 
Back
Top Bottom