Imebidi nibishane mno na huyu mama wa makamo anayefanya hii biashara kwenye saluni za kike zenye hadhi ya juu mikocheni masaki na oysterbay... Pia na maeneo ya kinondoni
Sex toys /sex dolls ni...
Habari za asubuhi wakuu, natumaini wote mmepata usingizi mzuri tofauti na mimi ambaye sijaupata takribani siku mbili sasa.
Mkasa wangu unahusiana na huyu binti ni jirani yangu, tulitokea...
Wakuu nimeota ndoto ya ajabu usiku wa kuamkia leo (baada ya kukutana na yule ex wa rafiki yangu na kukubaliana kuwa nae kwenye mahusiano)
Refer: Nipo Njia Panda Naomba Mnishauri - JamiiForums...
Asalam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kila kukicha kwenye suala zima la mahusiano.
Wanaume wanaonekana ndio wanaumizwa zaidi kwakuwa wao ndio...
Wanawake wawili walikuwa wakisimulia kilichotokea usiku baada ya waume zao kurejea nyumbani kutoka kazini.
Mwanamke 1
Shoga yangu, jana ilikuwa siku mbaya kwangu mume aliporudi kutoka kazini...
Linapokuja swala la kuoa kila mwanaume huwa ana vigezo anavyoviangalia lakini hebu leo hii hebu tuangalie between strong woman and weak woman yupi anaweza kuwa mke bora.
Strong woman ni yule...
You know why?
Because we know cheating is WRONG!
We cheat for SEX, just to F**K
But when the girl cheats she cheats for LOVE & AFFECTION.
She cheats with a guy that can potentially replace...
Habarini wadau,
Nitakuwa wazi sana na kwa anayeweza kunisaidia anisaidie ila kama mtu hajui/ hawezi kutoa msaada basi ni bora akaacha kuchangia kuliko kutusi/ kudhihaki.
Nina kaka yangu kabisa...
Habari wana Jf,
Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio...
Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka.
Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si...
Huu mjadala nimekuwa nikiusikia sana kwa baadhi ya wanawake. Uzuri ni kwamba kuna wanaokataa na kuna wanaokubali ila asilimia kubwa ni kama wanaona ni halali.
Yaani kila siku asubuhi mnatoka wote...
Tangu nije duniani na kuanza kuwajua wanawake na kuanza kuwagegeda sijaona sababu kuu ya kufikia hatua ya kumhonga mwanamke nyumba,gari,na vitu vingine vya thamani hasa yule mwanamke ambaye huna...
Habari za jioni wanajf,
Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya.
Iko hivi;
Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa...
Nimekuwa na mawazo yasiyokoma tangu mwaka Jana 2020, furaha imepotea nimekuwa ni mtu wa kuwaza kukosa amani na huzuni moyoni mwangu. Ninasoma chuo fulani lakini maisha yangu ni stress na...
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu...
Poleni sana kwa usumbufu niliowapatiena hasahasa wale mliokuwa na nia ya dhati kuchangia ili kufanikisha sherehe yetu ya ndoa kati yangu Nebuchadinezzar na Bi. (Jina Kapuni ili kulinda heshima...
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 37 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha hapo juu
Sababu...