Hivi ni nini hasa kinasababisha hadi mtu ufikie hatua ya kuhonga gari, nyumba na vitu vingine vya thamani?

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,375
Tangu nije duniani na kuanza kuwajua wanawake na kuanza kuwagegeda sijaona sababu kuu ya kufikia hatua ya kumhonga mwanamke nyumba,gari,na vitu vingine vya thamani hasa yule mwanamke ambaye huna malengo nae ya kimaisha

Mtu unakuta ana mke wake nzuri tu,lakini anaenda kuhonga gari ,nyumba kwa mchepuko

Hivi mwanamke ana utamu gani hasa was kutufanya sisi wanaume tuhangaike kutafuta Mali na kwenda kuwahonga.

Kwa mchepuko raha tunayoipata ni yale manjonjo tunayofanyiwa kisha kukojoa raha inaisha sasa ya nini upoteze Mali ya thamani kwa raha ya dakika 2 tena kwa demu mchepuko.

Nikifuatilia historia yangu sijaona sababu ya sisi wanaume kupoteza Mali kuhonga mwanamke.

Ebu mniambie wenzangu ni nini hasa kinawafanya uhonge gari, nyumba, na mshahara wako au mtaji wako kwa mwanamke? Starehe ipi ya ziada unaipata zaidi tu ya ile inayokuja wakati wa kukojoa?
 
Unamiliki mali kiasi gani? Na kipato chako kwa mwaka kikoje?

Kuhonga ni ile hela/kitu cha ziada Mtu ana toa. Kama utahonga hela halafu ukalale njaa huo ni ujinga. Ila Kama una gari 3 na kipato cha kueleweka, kumnunulia mcheps ka IST ni kawaida. Jikune pale unapoweza.
 
Ukihonga 10,000 au 20,000 kulingana na uwezo wako,usishangae kuona anayekuzidi kipato mara 1000 akihonga gari la milioni kumi au nyumba ya 20,000,000
 
Tangu nije duniani na kuanza kuwajua wanawake na kuanza kuwagegeda sijaona sababu kuu ya kufikia hatua ya kumhonga mwanamke nyumba,gari,na vitu vingine vya thamani hasa yule mwanamke ambaye huna malengo nae ya kimaisha

Mtu unakuta ana mke wake nzuri tu,lakini anaenda kuhonga gari ,nyumba kwa mchepuko

Hivi mwanamke ana utamu gani hasa was kutufanya sisi wanaume tuhangaike kutafuta Mali na kwenda kuwahonga

Kwa mchepuko raha tunayoipata ni yale manjonjo tunayofanyiwa kisha kukojoa raha inaisha sasa ya nini upoteze Mali ya thamani kwa raha ya dakika 2 tena kwa demu mchepuko

Kuna watu wengine washamba sana ,demu anakupa tigo yani anakufanya utende dhambi na kujiweka katika hatari ya magonjwa dume unachanganyikiwa unahonga mshahara wote kisa demu kakupa mk.undu ,ni starehe ipi hasa unaipata hadi uhonge gari kisa tigo

Nikifuatilia historia yangu ya Utombaji sijaona sababu ya sisi wanaume kupoteza Mali kuhonga mwanamke.

Ebu mniambie wenzangu ni nini hasa kinawafanya uhonge gari,nyumba,na mshahara wako au mtaji wako kwa mwanamke?? Starehe ipi ya ziada unaipata zaidi tu ya ile inayokuja wakati wa kukojoa???
Ushawahi kumpa mwanamke 1000 au 10,000/- ? Ushwahi kumnunulia mwanamke simu yoyote? Hao wanaohonga magari na nyumba ni kama mimi na wewe tukitoa 10,000/-.
 
kuna uzi ulisema hivi...
Kuna watu wanakojolea pazuri sana tena akaambatanisha na picha picha maana uzi bila picha huwa haunogi...
mwenye kuikamata ile link au ule uzi amletee mwamba apa ajue sababu za kuhonga ...
 
Tamaa ikichukua mimba lazima utatafuta means za kuifanyia palizi...
 
Sio kila mwanamke ana sifa za kuhongwa...na wale wenye sifa wakipita mbele yako tu lazima mapigo ya moyo yabadilike,na yakishabadilika kuna kitu kitakusumbua utumie kila njia umpate...sasa hapo ndio suala la kuhonga linapoanzia kutokana na ukubwa wa kipato chako.
 
mimi kama mimi nahonga kwa mazoea yani napenda tuuh kuhonga sijui kama umenielewa..
Tangu nije duniani na kuanza kuwajua wanawake na kuanza kuwagegeda sijaona sababu kuu ya kufikia hatua ya kumhonga mwanamke nyumba,gari,na vitu vingine vya thamani hasa yule mwanamke ambaye huna malengo nae ya kimaisha

Mtu unakuta ana mke wake nzuri tu,lakini anaenda kuhonga gari ,nyumba kwa mchepuko

Hivi mwanamke ana utamu gani hasa was kutufanya sisi wanaume tuhangaike kutafuta Mali na kwenda kuwahonga

Kwa mchepuko raha tunayoipata ni yale manjonjo tunayofanyiwa kisha kukojoa raha inaisha sasa ya nini upoteze Mali ya thamani kwa raha ya dakika 2 tena kwa demu mchepuko

Kuna watu wengine washamba sana ,demu anakupa tigo yani anakufanya utende dhambi na kujiweka katika hatari ya magonjwa dume unachanganyikiwa unahonga mshahara wote kisa demu kakupa mk.undu ,ni starehe ipi hasa unaipata hadi uhonge gari kisa tigo

Nikifuatilia historia yangu ya Utombaji sijaona sababu ya sisi wanaume kupoteza Mali kuhonga mwanamke.

Ebu mniambie wenzangu ni nini hasa kinawafanya uhonge gari,nyumba,na mshahara wako au mtaji wako kwa mwanamke?? Starehe ipi ya ziada unaipata zaidi tu ya ile inayokuja wakati wa kukojoa???
 
Bahati mbaya huna hela.Na unaowapata ni wa taipu hiyo ya buku kumi na tano.wenzako wanohonga tena dola. na wakati wewe unadinyia Jazia lodge huko kwa manyamani short time sh .7000 .mwenzako anadinyia whitesand kwa dolar 180 short time ambao ni mshahara wako wewe mwalimu wangu.

So hakuna mjinga hapo.wewe unahonga techno ya sh16,500 mwenzako anahonga Iphone ya sh1'650'000.halafu ukumbuke mtu anahonga hela nying wala hamfuatilii tena huyo demu sasa wewe unahonga zege na kidali basi kila saa maswali kibao , alitoka kidogo tuu mara miikele,utasikia uko wap?!!kavile umesha oa
 
Kwa Mimi kuhonga ni sawa na kutoa msaada tuu na wala siumizi kichwa kuwaza
 
Unapohonga au kumgharamia ndio chanzo kikubwa cha maumivu kwenye mapenzi.

Asikwambie mtu unapogharamia au unapomhonga mwanamke inauma sana anapokuzingua.

Kwa hiyo ukitaka usipate maumivu na presha presha kwenye mapenzi usihonge wala usimgharamikie (ina-apply kwa wote wanawake & wanaume)
 
Kuna wanawake wanabembeleza bhana.!
Mpaka unasahau shida zako.
Anakukumbusha na kumtunza mwenzie na watoto wako.!!
Utaachaje kumhonga gari!?
 
Wenzako wanahonga mpaka nchi na wananchi wote, ww unawaza gar na nyumba.
 
We vipi?
Kuhonga ni fani inayohitaji ujuzi na umakini.

Kila jinsia inahonga na kila kiumbe wanahonga.

Kuhonga inaongeza hamasa kwenye hisia za anayehongwa.

Kama huwezi ujue sio fani yako. Itakuwa ni kama seremala anayetaka kusomea udaktari.

Tulia wenye fani zao wakuonyeshe mambo.

HATA MKE ANAHONGWAA. USIPOMHONGA TUTAMHONGA..
 
Back
Top Bottom