Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mdau mmoja alitoa hoja ya kunyimwa mzigo kwa mazingira yaliyofanana na yangu. Nilimjibu kwa dhihaka na ujeuri. Anisamehe bure popote alipo. Haka kabinti sijui ni bikra au ana tatizo gani...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa...
6 Reactions
95 Replies
10K Views
Naitwa Glory, nahitaji mahusiano serious ambayo yatapelekea ndoa Sifa zangu: .mkristo .sina mtoto .Mwajiriwa wa serikali .Elimu yangu Shahada Natafuta mwenza mwenye sifa zifuatazo: .mkristo...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Wasalaam Wakuu. Katika dunia ya sasa, ngono imekuwa ni kibwagizo katika maisha ya binadamu. Iwe jinsia ke au me, wote wanapenda kufanya ngono kuliko inavyostahili. Kufanya mapenzi ni tendo...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa...
7 Reactions
113 Replies
11K Views
Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni. Kwanini naongea hivi? Kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna siku niliwaletea uzi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda peke yako au kimada, wife yuko home au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Marry now with the little you have. Don't wait to be a millionaire, Have kids early so you can grow with them. Grow with your kids and succeed with your wife. You will never finish making money...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Unakuta mwanamke anaolewa na mwanaume, ambaye amezaliwa akalelewa akasomeshwa na wazazi wake. Amekuwa pamoja na ndugu zake dada, kaka tangu akiwa mdogo. Halafu yeye anapoingia anataka yeye ndo am...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Bahati mbaya sina bebii kipindi hiki so valentine imenikuta nikiwa singo. Nimepiga kiporo changu cha pilau nimepanda kitandani kuusaka usingizi. Mwenzangu wewe uko wapi mda huu?
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Habarini za asubihi na shikamoni wakubwa na wadogo zangu hamjambo vijana wenzangu mambo vipi. Mimi napenda sana kuchunguza chunguza mambo na kuwapima watu akili hasa hawa jinsia ya 'she'...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Saizi nimeamini kwamba ngono na vitendo vyovyote vinavyohusiana na ngono Asa ikiwa mapema humpoteza Mtu kimalengo ya baadaye, masomo, stara, hofu ya Mungu etc Hii kutokana ushuhuda wangu kabsa...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya. Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya...
20 Reactions
66 Replies
8K Views
Leo natoka zangu taifa kucheg game ya simba na kaiza chifs, nkapanda gari la gongo la mboto nkadrop pale banana. Lengo nipande bajaji ya mbezi nifike fasta. Ikaja bajaji ina abiria mmoja... pisi...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige...
24 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kuwasaidia wazazi wetu tusisubiri simu ya haloo baba tunashida huku,alafu wewe ndo unatuma alfu kumi,sio busara. Ukipata chochote tuma japo 10% ya ulichopata sio mpaka wakuombe,nao watu wale...
39 Reactions
59 Replies
4K Views
Hii ni habari iliyonukuliwa toka katika kinywa twahara, ikielezea kikao kilicho kaliwa na wanawake 11, wanawake ambao walijumuika kwa ajili ya kuwaelezea waume zao kinaga ubaga, yaani nje ndani,na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana! Uzi huu nauandika kwa lengo safi kabisa la kujifunza, sina nia ya kumkebehi yeyote wala kumuudhi yeyote. Pia nimeonelea niandike uzi huu ili niweze kutoa elimu kwa kundi...
15 Reactions
445 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…