Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

The scenarios! The trendings! The chaos and the dramatic rhythm... The happening....!!! Mongers are on the verge of argonostic fusion, boring the long forgotten n muted moleholes.. WHO THE CAP...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimeamini mwanamke haaminiwi nimeoa mwaka jana mwezi wa pili kufika mwaka huu mwezi huu wa kwanza mwanamke kanitoroka kisa nilimgombeza kwanini hafanyi usafi ndani hajarudi kwao na sijui alipo hata.
22 Reactions
79 Replies
7K Views
Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa...
16 Reactions
93 Replies
9K Views
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo. Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Anatafuta mfanyakazi na anapiga marufuku wanawe HATA wa kike kufanya kazi yoyote, mtoto wa kike analelewa kimagharibi unakuta: Hajui hata kufua chupi, chupi yake ya ndani anampelekea mwanamke...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau mpoo! Kila la kheri kwa kila jambo na pole sana kwa wenye changamoto. Moja kwa moja kwenye mada, kuna jamaa ana mke na wana mtoto mmoja, mke wake amekuwa mwiba kwa kuongea sana na kumzodoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wana MMU na JF as whole, Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members na mimi mwenyewe kuunga mkono malalamiko hayo nimeomba kwa mkuu Invisible katika thread ya Ngabu kuweza andaa thread...
59 Reactions
148 Replies
204K Views
SITASAHAU (simulizi ya kweli) NA NIHZRATH NTANI (+255713414189) Leo nimeamua kuelezea stori hii. Nataka jamii ijifunze kupitia tukio hili lililonitokea miaka mingi iliyopita...
3 Reactions
46 Replies
103K Views
Awe anayependa kupendwa siyo anayependa kuhongwa. Akiwa Mwanza itapendeza zaidi. Niko serious sana.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana...
38 Reactions
231 Replies
27K Views
Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na...
12 Reactions
97 Replies
9K Views
Nimejiuliza sana swali hili lakini sijapata jibu. Nimekuwa na wapenzi ambao hupenda kusafiri muda wa jioni sana ili afike aendako usiku. Wa kwanza tuliachana nae kwa sababu nyingi.Huyu niliye...
2 Reactions
13 Replies
940 Views
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao. Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Je, ulishawahi kwenda na mwanamke gest au geto na kulipa gharama zote ikiwemo chumba, chakula, nauli n.k alafu akakataa kukupa penzi kama mlivyokubaliana? Ulichukua hatua gani au utachukua hatua...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika yote mnayopitia zaidi neema yake ikawe juu yenu. Jana yamenikuta kijana mwenzenu, Shemeji yenu mtarajiwa anafanya kazi ofisi moja na...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Siyo maneno yangu miye Mzee Mtambuzi bali ni utafiti wa hivi karibuni. Katika jarida la Health Psychology la hivi karibuni linaripoti kwamba, mwanamke akifiwa na mumewe, kama walikuwa wakipendana...
14 Reactions
46 Replies
14K Views
Habari za mchana wakubwa kwa wadogo. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo wote humu ndani na manaendelea vyema katika utafutaji wa ridhiki. Wakuu bila kupoteza muda naombeni ushauri katika hili...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ndio yule ndugu yenu nilie waletea ule usi kuwa Sasa naachana na wanawake wote pamoja na ngono zembe baada kupimwa na kuambiwa nipo fresh , na kuamua kuelekeza mashambulizi kwa wife tu kuwa...
13 Reactions
87 Replies
6K Views
Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…